kulikoni TGNP na MASHOGA

YAH: MAONI BINAFSI JUU YA HALI YA USHOGA NA TAMASHA LA JINSIA

Mimi ni miongoni mwa wanaharakati wa masuala ya haki za binadamu, maliasili na mazingira. Nimekuwa nikipigania haki za kimsingi za kibinadamu kwa nadharia na vitendo. Ushiriki wangu umesaidia kupambana na ukiukwaji wa haki za binadamu kwa namna moja au nyingine katika nchi yetu na nchi jirani.

Nitumie fursa hii kuipongeza kwa dhati kabisa Tanzania Gender Networking Program (TGNP) kwa mchango wake wa kuleta mabadiliko chanya katika jamii ya kitanzania. Mchango wa TGNP ni mkubwa na wanaharakati wa haki za binadamu, rasilimali na Mazingira kwa ujumla wanautambua na kuuthamini.

Baada ya pongezi hizi, napenda kutoa maoni yangu juu ya Tamasha la Jinsia liloandaliwa na TGNP kuanzia tarehe 13-16 katika viwanja vya TGNP.
Ni kweli kuwa kuna mambo mazuri mengi yalifanyika wakati wa Tamasha hili, ikiwemo jamii za pembezoni kutoa na kupaza sauti zao kuhusu masuala mbalimbali nyeti yanayozifanya jamii hizi kukosa au kunyimwa haki zao za kimsingi za kibinadamu.

Pamoja na hayo mazuri, kwa maoni na mtizamo wangu, mazuri hayo yalifutwa kabisa na msimamo na upigiaji chapuo wa TGNP kuhusu masuala ya USHOGA katika jamii ya kitanzania. Binafsi sikatai uwepo wa USHOGA/USENGE katika jamii ya kitanzania. Sina mtizamo wa kihafidhina wala wa kuwatenga watu hawa, lahasha. Tatizo langu ni kupigia chapuo kwa TGNP suala hili la USHOGA/USENGE.

Hoja yangu ya kupingana na TGNP kuhusu mtizamo wenu ni jinsi mlivyolichukulia na kulienzi suala hili. Nashindwa kupata dhamira nyingine zaidi ya kuwa TGNP mna malengo kadhaa na suala hili. Nashawishika kuamini kuwa mnapigania kuleta mabadiliko hasi kwa jamii yetu, yaani jamii ya kitanzania ilione suala hili kuwa la kawaida, hivyo watoto wetu wajihusishe na USHOGA/USENGE.

Pengine, utetezi wenu kuwa mnataka jamii ijue kuwa tatizo hili lipo na ichukue hatua. Lakini hoja hii haina mashiko wala miguu.
Utetezi wenu pia kuwa watu hawa, MASGOGA/******* wameingia katika matendo haya machafu kwa sababu za kiuchumi na kibiojia nayo hayana maantiki hata kidogo.

Je, mbona masikini wa Tanzania wapo wengi tu! Na wao mnataka waingia katika USHOGA/USENGE? Je ukishakuwa SHOGA/****** ndiyo matatizo ya kibiolojia na kiuchumi yanaisha? Nini mnataka watoto wetu wafanye zaidi ya kuona USHOGA ndiyo suluhisho la umasikini?
Je kama watoto wenu wangekuwa mashoga/******* mngewaleta kwenye tamasha hili?

Jibu rahisi ni kuwa TGNP mnapata fedha za kuwa na miradi hii toka kwa mashoga/******* wa kimataifa wanaotaka kufanya jamii nzima iwe kama wao. Ni tamaa ya fedha tu ndiyo inayowafanya mpigie debe suala la ushoga/ushoga nchini mwetu na si vinginevyo. Kuna tofauti gani kati ya RUSHWA/UFISADI mnaoukataa katika serikali yetu na kutumia fedha chafu za watetea USHOGA/USENGE. Fedha yao ni chafu, hata ikitumika kuutokommeza USHOGA bado itakuwa chafu tu.

Je, unaweza kutumia fedha ya mtetea USHOGA/USENGE kuwafanya mashoga waache tabia hii? Mbona haiwezekani! Lengo ni kuwatetea tu waendelee na tabia hii chafu na si vinginevyo.

Vile vile naona TGNP kupoteza staha na heshima iliyojijengea katika jamii yetu ya Tanzania kwa muda mrefu. TGNP kwa kujiingiza kwenye suala hili ni kupoteza dira na mwelekeo sahihi. Siwahukumu ila ndiyo ukweli mwenyewe. Mnataka tuwe na taifa la aina gani? La mashoga/*******? Ukuaji wa taifa utakuwaje ikiwa watu wote watakuwa kama dhamira ya ******* ilivyo?

Uungwana huanzia nyumbani. Ikiwa matendo na sera zenu zitakosa staha kwa watanzania kazi yenu itakuwa ni mfu na isiyo na tija. Uungwaji mkono wenu wa kwaida utapotea sana.

Nawasihi mtafakari upya mwelekeo wenu ili heshima na staha yenu irudi kwa watanzania. Kuteleza siyo kuanguka, chukueni hatua hamjachelewa. Chukueni maamuzi magumu ya kukataa fedha za watetea USHOGA/USENGE. Zipo nyingi tu na ndizo zilizowaingiza katika mtego huu mchafu.

Stanslaus Nyembea.

Mbona Bakwata hawajatoa tamko kuzuia Waislamu wasijiunge na TGNP kwa vile baadhi ya wanaharakati wa TGNP wanadai ushoga utambuliwe na Katiba mpya au na wao ni wadau? Au je, hakuna Waislamu walio TGNP?
 
nampongeza sana aliyeanzisha hoja hii ya kuwalekebisha TGNP, ushoga ni Tatizo la kmaumbile au la kujitakia kufuatana na kutaka urais wa kutaka mali
 
mmh! wanamfanya Mungu mwehu hawa wanalaaana kuanzia ******* wenyewe mpk wanowatetea nawanaowafanya eeeh! Mungu turehemu
 
TGNP watuombe radhi watanzania,tena wasijibu kwa kujitetea,radhi full stop,otherwise tutawaanika kwa wananchi kama ndio wanayohubiri sasa.wapuuzi!
 
Watetee basi na matumizi ya madawa ya kulevya maana wakiibuka mateja kudai watambulike ni haki yao. TGNP mmepotoka au mmeishiwa!
 
wana jf nimepitia habari furani nikakuta katika wavuti,yaonekana TGNP kazi yao ni kulazimisha ushoga hapa Tanzania vipi wadau imekaaje hii?

na yasemekana watoto wanaoiongoza hiiyo TGNP ni wasomi wa hali ya juu na hakuna hata mmoja ambaye ni shoga,lakini bado wahusika wanalazimisha jamii ya watanzania waone ushoga ni hali ya kawaida hivi hawa TGNP ni kina nani haswa?

jamani tuwe makini na hizi NGOS,

PATA HABARI ZAIDI

Ni wazi nia na malengo ya Mtandao wa Jinsia Tanzania kwa sasa sio tena kupigania ukombozi wa mwanamke. Kwa sasa ni mawakala wa uchafu wa wazungu na upumbazaji wa wanawake na jamii nzima ya watanzania. Matendo yao, mwenendo wao, imani zao, na mitazamo yao vinadhihirisha wazi kuwa nia zao ni hizo. Nitatoa sababu:-

1. Hawa TGNP, juzi tu wamepata upinzani mkubwa toka kwa jamii kuhusu kuwatumia watoto wa wenzao kama ‘’display’’ ya mashoga kwenye tamasha lao. Na kuwapumbaza watanzania(wakubwa kwa watoto waliokuwa wamejazana kwenye tamasha la jinsia) kuwa ushoga ni halali na ni maumbile ya kuzaliwa. Hivi tujiulize, kama kweli wanaamini kuwa ushoga ni halali kwanini wasingehamasisha kwanza watoto wao wawe mashoga?

Tunawajua watoto wao, ni wasomi wazuri na wana nyazifa nyeti kwenye mashirika, na wengine wako shule nzuri wanasoma ili wawe watu wakubwa katika nchi hii. Kwanini wanataka watoto wa watanzania masikini wawe mashoga ilihali watoto wao hawawi mashoga na wanawasomesha hadi nje ya nchi?

Mbona hatuwaoni mashoga waliosoma na wenyekazi nzuri maofisini? Homoni za ushoga ziko kwa Watanzania masikini tu wenye elimu duni na maisha duni? Kama ni umasikini wangewahimiza mashoga wafanye kazi kwa bidii na warudi shule ili elimu iwakomboe. Hawa ni wanafiki na wazandiki. Watanzania tuwaogope TGNP kama ukoma.

2. Wanatetea ushoga kuwa ni maumbile ya kuzaliwa. Sio kweli. Mbona hatuoni ushoga kwa wanyama?mbona hatuoni punda shoga, mbuzi shoga na ng’ombe shoga? Maana sisi wote binadamu ni wanyama na tuna hisia na shauku sawa na wanyama kwenye kujamiana. Kwanini ushoga uwe kwa binadamu tu? tena kwa watoto wa watanzania masikini na sio kwa watoto wa wanaotetea ushoga?

3. Tunafahamu chanzo cha kutetea ushoga sio dhamira zao, wala akili zao. Ni Pesa chafu walizopewa na wazungu wachafu, ili watumike kuua maadili ya watanzania na wavuruge akili zetu kwa manufaa ya wazungu. Tunafahamu fika kuwa shirika la misaada la HIVOS toka Uhalanzi ndilo lililopita kwenye NGOs kadhaa kuwataka wachukue fedha nyingi kwa ajili ya kutetea ushoga. NGOs zinazoongozwa na Watanzania makini na wenye akili timu WALIZIKATAA FEDHA HIZO CHAFU. Hawa TGNP pasipo kufikiri na uroho wa fedha wakachukua fedha hizi nyingi ambazo sasa zinawadharirisha hata utu wao na hadhi yao kwenye jamii. Ni mafidhuli hawa!

4. Niwakumbushe tu watanzania wenzangu kuwa, shirika la HIVOs ni la Waholanzi. Na waholanzi ndio nchi pekee duniani inayohalalisha uchafu wa kila aina kuhusu uchi wa binadamu na ngono za kila aina. Waholanzi wamefikia hatua ya kujenga. Makumbusho ya uchi wa binadamu na biashara ya ngono na kujamiana hadharani” makumbusho hii inaitwa (Sex Museum), iko Jiji maarufu dunia Amstardam.

Waliofika wanasimulia. Pale uchi wa binadamu hauna thamani tena kwa waholanzi(wafadhili wa TGNP). Ni uchafu na udharirishaji wa ubinadamu. Katika makumbusho hayo(ya uchi na ngono) Wanawake wamepangwa kama nyanya sokoni-ni zaidi ya uchangudoa wa sinza na kinondoni-ambao nao ulitoka huko. Ni laana kuelekea mwisho wa dunia.

Tunakoelekea viwanja vya TGNP vitageuzwa kuwa “Sex museum” ya watanzania na wageni. Na inawezekana kabisa wanawake tukaambiwa ni haki yetu kuolewa na mbwa au punda kama wanavyofanya wazungu sasa huko Ulaya. Sijui kama serikali nayo ipo katika hili. TGNP ni hatari kwa mustakabli wa nchi yetu.

5. TGNP wanatufundisha wanawake kudharau waume zetu na hata kuepuka kuolewa. Wengi wamevunja ndoa zao kutokana na mafundisho potofu ya hawa akina mama.

Wakati TGNP wakifurahia wanawake kuvunja ndoa zao na kufarakanisha familia zetu, wao hawavunji ndoa zao. Tena wameolewa na wanaume waliosoma na maarufu hapa nchini, wenye hadhi kubwa na pesa nyingi. Na wale wasioolewa, ni mahawala wa watu wazito katika nchi yetu. Tunawajua.

Kama kweli wanaume ni wabaya kiasi hicho, kwanini wao wanaolewa-wasisagane wao kwa wao? Kwanini wao wanazaa na wanaume haohao wabaya? kwanini familia zao ziko imara? kwanini wanaendelea kuwa mahawala wa wanaume maarufu? Kwanini wasisagane wao kwa wao? Tena karibu nusu ya viongozi na washabiki wakuu wa TGNP ni wake wa ma-profesa, ma-daktari na wenye pesa. Huu sio unafiki?

6. Hawa TGNP wanatufundisha wanawake kulalamika, kusikitika, kujigamba, kiburi na ubabe usio na maana. Badala watufundishe kuthaminiana, kujenga familia bora, kufanya kazi kwa bidii na kujiendeleza zaidi kwa kusoma na kutafuta taarifa ili tupate maendeleo.

Nilifika kwenye tamasha la wazi pale mabibo kwenye ofisi zao. Kila mwanamke anayepanda jukwaani hakuna anachosema bali kujigamba, kunungu’unika na kuonesha anaweza kupambana mfumodume. Kila mwanamke anayongea anaonesha ana nguvu na akili kuliko Mungu. Akitoka kwenye tamasha anaendelea kuwa masikini, anaendelea kubaki na shida na dhiki zake, wao wana neemeka kwa kulipana mishahara mikubwa na posho kibao.

Hata nchi zilizoushinda mfumodume hazikuwafundisha wanawake kusikitika, kiburi, kujigamba na ngebe na porojo nyingi kama hawa TGNP. Bali ziliwaelimisha wanawake na wanaume; wote wakabadilika wakaheshimiana. Wanawake wenzangu, kuwafuata TGNP tunapotea. Turudi kwenye maadili yetu na tujibidiishe kusoma na kusomesha watoto wetu, na kufanyakazi kwa bidii; ili jamii na nchi yetu isonge mbele. Hawa ni waongo.

7. TGNP wanatukana na kukataa kila aina ya mila na desturi za mwafrika. Maadili na miiko yetu ya asili ambayo ni mizuri tu wao wanaipinga. Kila aina ya mahusiano wanakataa. Mfano, wanapinga mgawanyo wa kazi, wanapinga ndoa za wake wengi, badala yake wanahimiza ushoga na usagaji.

Wanapinga hata dini zetu za asili na za kigeni. Kwao Bibilia na Quran ni vitabu vichafu. Kwa hawa TGNP wao hata Mungu hayupo. Huu ndio mtazamo wa wazungu kwa sasa, japo walizileta dini hizo sasa wazungu wengi hawasali kabisa, sehemu nyingi za Ulaya makanisa yamebaki makumbusho. Mnaokwenda Ulaya mnajua!

8. Watu kama hawa wanaokataa kila iana ya mila na desturi na kuhamasisha uchafu, chuki na visasi, hawafai katika jamii. Ni kweli dini hazina manufaa kabisa kwa jamii? Mbona makanisa na misikiti imejenga mashule mengi-na baadhi ya hawa akina mama wamesoma katika shule hizo? Na baadhi watoto wao hadi leo tunawaona kwenye shule za makanisa? Mbona makanisa na misitiki imejenga hospitali nyingi, vyuo vya ufundi, na kutoa misaada kwa watoto yatima kibao?

Wao TGNP tangu waanze wanaweza kujisifia kwa lipi? Wanapata pesa nyingi chafu kwa wazungu lakini hawajafanya chochote mbali na kuweka matamasha ya kutukana na kuwafundisha watanzania ushetani wa wazungu. Tusiwafuate tutapotea! Mapungufu tunayoyaona kwenye dini zetu yanaweza kurekebishwa. Hawa ni hatari zaidi kuliko sumu.

9. TGNP wanaimba kila siku eti rasilimali za nchi zinawanufaishe wanawake waliopembezoni. Mbona rasilimali zao chafu hawazipeleki kuwanufaisha wanawake wa pembezoni?

Wanajidai wanatetea maji vijijini lakini hawajawahi kuchimba kisima hata kimoja huko vijijini. Eti wanatetea uzazi salama hawajawahi kupeleka hata kidonge kimoja kwa wanawake wajawazito vijijini. Wanatetea ardhi kwa wanawake-hawajawahi hata kufika vijijini kuona kama wanawake hawana ardhi.

Mambo yao yote yanaishi Dar es salaam-kwenye wanawake wachache sana. Hawaendi vijijini. Wao ni Dar es salaam na Ulaya tu kwa wafadhiri wao. Waulize walitumia sh ngapi kuendesha Tamsha lao na kulipana posho na mishahara? Hizo pesa zingechimba visima vingapi ambavyo vingewasaidia wanawake wanaotaabika kutafuta maji? Maneno matupu hayavunji mfupa.

Mwisho, TGNP wamepoteza dira, mwelekeo na kwa sasa hawana malengo. Kama kweli wanayotetea yamo mioyoni mwao, tuwaone sasa wao kwa wao wanasagana; watoto wao wawe mashoga na waletwe display kwenye tamasha. Waende vijijini wakachimbe visima, wajenge zahanati za mfano, na wawanunulie matrekta wanawake wakulima vijijini.

Wakifanya hivyo, tutajua wana maanisha wanachokisema. Vinginevyo, hawa ni wakuepuka kama ukoma. Ni kikundi kichafu, cha kupandikiza uchafu wa wazungu na kuua akili na maadili yetu. Wanafaa kuwa gerezani wanatumikia kifungo cha maisha na sio kuwa eneo la Mabibo lililotakatifu kwa Watanzania halisi. Watanzania Tuwakatea Hawa Vibaraka wa Shetani!!

Imeandikwa na
Asha Maganga,
0714-932374.

source: Wavuti - Habari
 
mie la ushoga linistaajabisha ndio nikajua bongo kwa magumashi kiboko, watu wamepiga hela za ukimwi, malaria sasa wanataka za mashoga?
 
Hivi Ngo inaposajiliwa si lazma itaje kazi zake! Inapokiuka masharti inapaswa kufungiwa! Je! Ktk hati ya usajili TNGP wamesajiliwa kufanya kazi gani?
Kama wamekiuka, timua kazi???
 
Ni wazi nia na malengo ya Mtandao wa Jinsia Tanzania kwa sasa sio tena kupigania ukombozi wa mwanamke. Kwa sasa ni mawakala wa uchafu wa wazungu na upumbazaji wa wanawake na jamii nzima ya watanzania. Matendo yao, mwenendo wao, imani zao, na mitazamo yao vinadhihirisha wazi kuwa nia zao ni hizo. Nitatoa sababu:-

1.Hawa TGNP, juzi tu wamepata upinzani mkubwa toka kwa jamii kuhusu kuwatumia watoto wa wenzao kama ''display'' ya mashoga kwenye tamasha lao. Na kuwapumbaza watanzania(wakubwa kwa watoto waliokuwa wamejazana kwenye tamasha la jinsia) kuwa ushoga ni halali na ni maumbile ya kuzaliwa. Hivi tujiulize, kama kweli wanaamini kuwa ushoga ni halali kwanini wasingehamasisha kwanza watoto wao wawe mashoga?
Tunawajua watoto wao, ni wasomi wazuri na wana nyazifa nyeti kwenye mashirika, na wengine wako shule nzuri wanasoma ili wawe watu wakubwa katika nchi hii. Kwanini wanataka watoto wa watanzania masikini wawe mashoga ilihali watoto wao hawawi mashoga na wanawasomesha hadi nje ya nchi?
Mbona hatuwaoni mashoga waliosoma na wenyekazi nzuri maofisini? Homoni za ushoga ziko kwa Watanzania masikini tu wenye elimu duni na maisha duni? Kama ni umasikini wangewahimiza mashoga wafanye kazi kwa bidii na warudi shule ili elimu iwakomboe. Hawa ni wanafiki na wazandiki. Watanzania tuwaogope TGNP kama ukoma.
2. Wanatetea ushoga kuwa ni maumbile ya kuzaliwa. Sio kweli. Mbona hatuoni ushoga kwa wanyama?mbona hatuoni punda shoga, mbuzi shoga na ng'ombe shoga? Maana sisi wote binadamu ni wanyama na tuna hisia na shauku sawa na wanyama kwenye kujamiana. Kwanini ushoga uwe kwa binadamu tu? tena kwa watoto wa watanzania masikini na sio kwa watoto wa wanaotetea ushoga?
3. Tunafahamu chanzo cha kutetea ushoga sio dhamira zao, wala akili zao. Ni Pesa chafu walizopewa na wazungu wachafu, ili watumike kuua maadili ya watanzania na wavuruge akili zetu kwa manufaa ya wazungu. Tunafahamu fika kuwa shirika la misaada la HIVOS toka Uhalanzi ndilo lililopita kwenye NGOs kadhaa kuwataka wachukue fedha nyingi kwa ajili ya kutetea ushoga. NGOs zinazoongozwa na Watanzania makini na wenye akili timu WALIZIKATAA FEDHA HIZO CHAFU. Hawa TGNP pasipo kufikiri na uroho wa fedha wakachukua fedha hizi nyingi ambazo sasa zinawadharirisha hata utu wao na hadhi yao kwenye jamii. Ni mafidhuli hawa!
4. Niwakumbushe tu watanzania wenzangu kuwa, shirika la HIVOs ni la Waholanzi. Na waholanzi ndio nchi pekee duniani inayohalalisha uchafu wa kila aina kuhusu uchi wa binadamu na ngono za kila aina. Waholanzi wamefikia hatua ya kujenga. Makumbusho ya uchi wa binadamu na biashara ya ngono na kujamiana hadharani" makumbusho hii inaitwa (Sex Museum), iko Jiji maarufu dunia Amstardam.
Waliofika wanasimulia. Pale uchi wa binadamu hauna thamani tena kwa waholanzi(wafadhili wa TGNP). Ni uchafu na udharirishaji wa ubinadamu. Katika makumbusho hayo(ya uchi na ngono) Wanawake wamepangwa kama nyanya sokoni-ni zaidi ya uchangudoa wa sinza na kinondoni-ambao nao ulitoka huko. Ni laana kuelekea mwisho wa dunia.
Tunakoelekea viwanja vya TGNP vitageuzwa kuwa "Sex museum" ya watanzania na wageni. Na inawezekana kabisa wanawake tukaambiwa ni haki yetu kuolewa na mbwa au punda kama wanavyofanya wazungu sasa huko Ulaya. Sijui kama serikali nayo ipo katika hili. TGNP ni hatari kwa mustakabli wa nchi yetu.
5.TGNP wanatufundisha wanawake kudharau waume zetu na hata kuepuka kuolewa. Wengi wamevunja ndoa zao kutokana na mafundisho potofu ya hawa akina mama.
Wakati TGNP wakifurahia wanawake kuvunja ndoa zao na kufarakanisha familia zetu, wao hawavunji ndoa zao. Tena wameolewa na wanaume waliosoma na maarufu hapa nchini, wenye hadhi kubwa na pesa nyingi. Na wale wasioolewa, ni mahawala wa watu wazito katika nchi yetu. Tunawajua. Kama kweli wanaume ni wabaya kiasi hicho, kwanini wao wanaolewa-wasisagane wao kwa wao? Kwanini wao wanazaa na wanaume haohao wabaya? kwanini familia zao ziko imara? kwanini wanaendelea kuwa mahawala wa wanaume maarufu? Kwanini wasisagane wao kwa wao? Tena karibu nusu ya viongozi na washabiki wakuu wa TGNP ni wake wa ma-profesa, ma-daktari na wenye pesa. Huu sio unafiki?
6. Hawa TGNP wanatufundisha wanawake kulalamika, kusikitika, kujigamba, kiburi na ubabe usio na maana. Badala watufundishe kuthaminiana, kujenga familia bora, kufanya kazi kwa bidii na kujiendeleza zaidi kwa kusoma na kutafuta taarifa ili tupate maendeleo.
Nilifika kwenye tamasha la wazi pale mabibo kwenye ofisi zao. Kila mwanamke anayepanda jukwaani hakuna anachosema bali kujigamba, kunungu'unika na kuonesha anaweza kupambana mfumodume. Kila mwanamke anayongea anaonesha ana nguvu na akili kuliko Mungu. Akitoka kwenye tamasha anaendelea kuwa masikini, anaendelea kubaki na shida na dhiki zake, wao wana neemeka kwa kulipana mishahara mikubwa na posho kibao.
Hata nchi zilizoushinda mfumodume hazikuwafundisha wanawake kusikitika, kiburi, kujigamba na ngebe na porojo nyingi kama hawa TGNP. Bali ziliwaelimisha wanawake na wanaume; wote wakabadilika wakaheshimiana. Wanawake wenzangu, kuwafuata TGNP tunapotea. Turudi kwenye maadili yetu na tujibidiishe kusoma na kusomesha watoto wetu, na kufanyakazi kwa bidii; ili jamii na nchi yetu isonge mbele. Hawa ni waongo.
7. TGNP wanatukana na kukataa kila aina ya mila na desturi za mwafrika. Maadili na miiko yetu ya asili ambayo ni mizuri tu wao wanaipinga. Kila aina ya mahusiano wanakataa. Mfano, wanapinga mgawanyo wa kazi, wanapinga ndoa za wake wengi, badala yake wanahimiza ushoga na usagaji.
Wanapinga hata dini zetu za asili na za kigeni. Kwao Bibilia na Quran ni vitabu vichafu. Kwa hawa TGNP wao hata Mungu hayupo. Huu ndio mtazamo wa wazungu kwa sasa, japo walizileta dini hizo sasa wazungu wengi hawasali kabisa, sehemu nyingi za Ulaya makanisa yamebaki makumbusho. Mnaokwenda Ulaya mnajua!
8.Watu kama hawa wanaokataa kila iana ya mila na desturi na kuhamasisha uchafu, chuki na visasi, hawafai katika jamii. Ni kweli dini hazina manufaa kabisa kwa jamii? Mbona makanisa na misikiti imejenga mashule mengi-na baadhi ya hawa akina mama wamesoma katika shule hizo? Na baadhi watoto wao hadi leo tunawaona kwenye shule za makanisa? Mbona makanisa na misitiki imejenga hospitali nyingi, vyuo vya ufundi, na kutoa misaada kwa watoto yatima kibao?
Wao TGNP tangu waanze wanaweza kujisifia kwa lipi? Wanapata pesa nyingi chafu kwa wazungu lakini hawajafanya chochote mbali na kuweka matamasha ya kutukana na kuwafundisha watanzania ushetani wa wazungu. Tusiwafuate tutapotea! Mapungufu tunayoyaona kwenye dini zetu yanaweza kurekebishwa. Hawa ni hatari zaidi kuliko sumu.
9. TGNP wanaimba kila siku eti rasilimali za nchi zinawanufaishe wanawake waliopembezoni. Mbona rasilimali zao chafu hawazipeleki kuwanufaisha wanawake wa pembezoni?
Wanajidai wanatetea maji vijijini lakini hawajawahi kuchimba kisima hata kimoja huko vijijini. Eti wanatetea uzazi salama hawajawahi kupeleka hata kidonge kimoja kwa wanawake wajawazito vijijini. Wanatetea ardhi kwa wanawake-hawajawahi hata kufika vijijini kuona kama wanawake hawana ardhi.
Mambo yao yote yanaishi Dar es salaam-kwenye wanawake wachache sana. Hawaendi vijijini. Wao ni Dar es salaam na Ulaya tu kwa wafadhiri wao. Waulize walitumia sh ngapi kuendesha Tamsha lao na kulipana posho na mishahara? Hizo pesa zingechimba visima vingapi ambavyo vingewasaidia wanawake wanaotaabika kutafuta maji? Maneno matupu hayavunji mfupa.
Mwisho, TGNP wamepoteza dira, mwelekeo na kwa sasa hawana malengo. Kama kweli wanayotetea yamo mioyoni mwao, tuwaone sasa wao kwa wao wanasagana; watoto wao wawe mashoga na waletwe display kwenye tamasha. Waende vijijini wakachimbe visima, wajenge zahanati za mfano, na wawanunulie matrekta wanawake wakulima vijijini.
Wakifanya hivyo, tutajua wana maanisha wanachokisema. Vinginevyo, hawa ni wakuepuka kama ukoma. Ni kikundi kichafu, cha kupandikiza uchafu wa wazungu na kuua akili na maadili yetu. Wanafaa kuwa gerezani wanatumikia kifungo cha maisha na sio kuwa eneo la Mabibo lililotakatifu kwa Watanzania halisi. Watanzania Tuwakatea Hawa Vibaraka wa Shetani!!
 
nampongeza sana aliyeanzisha hoja hii ya kuwalekebisha TGNP, ushoga ni Tatizo la kmaumbile au la kujitakia kufuatana na kutaka urais wa kutaka mali

yeah, ushoga ni tatizo la kibiolojia, kujitakia na pia linaweza kuwa la kubadilishwa kwa kulazimishwa, kuna waliofanyiwa vitendo hivi kwa kulazimishwa toka utotoni na kwa miaka mingi mpaka wakawa mashoga, ni vizuri tuwe makini na karibu na watoto wetu wa kiume mara kwa mara, wapo waliofanyiwa vitendo hivyo kwa kulazimishwa lakini kwa muda mfupi akaendelea kuwa mwanaume kamili, kikubwa kinachotakiwa ni yeye kujiamini kuwa yeye bado ni mwanaume na kuchukia kitendo hicho, na pia kama jamii yake inalijua hilo imsaidie aweze kujiamini na aendelee kuwa mwanaume kamili, na sio kumcheka wakati inajua wazi alikuwa ni mtoto, dhaifu, hakuweza kujitetea kwa mdhalilishaji huyo, watoto wafundishwe kujihami na sheria iwe kali kweli kweli dhidi ya wadhalilishaji, pia watu wawe makini na mahouseboy, walinzi, mafundi tunaowaleta kwenye nyumba zetu, madereva wetu, wafanyakazi wa school buses na baadhi ya waalimu na wazazi wa kiume, wababa wa familia dhidi ya watoto wao wa jinsia zote, mengi yameshaandikwa magazetini, tuwe makini, tuchukue hatua, tuwe makini na wababa, vijana wanaopenda kula tigo, ngono kupita kiasi, wakali na wakorofi sana na wale wakimya sana, na hata baadhi ya watoto wenzao, ni hatari kwa watoto wetu.
 
Better TGNP isijihusishe nao, wajianzishie wenyewe mashirika yao kama wanataka, si wapo mpaka wanasheria mashogo, nilishawahi kumsikia mmoja miaka iliyopita, watawatetea wenzao, sio kama tunawatenga but ukweli wanaweza kabisa kutuharibia jamii, shoga anapenda sana kumpata shoga mwenzie kwenye mazingira anayoishi, kuna hatari kwa mtoto wa kiume kuishi nyumba moja na mashoga watatu toka mdogo tofauti na yule anayeishi na machangudoa watano toka mdogo.
 
Nakumbuka niliambiwa na mtu mmoja ambaye yeye aliambiwa na shoga ambaye alifanyiwa kitendo hicho akiwa mdogo kiasi, above kidogo ya umri wa kubalehe kuwa, yeye, shoga huyo, alikuwa anakamatwa kwa nguvu na baba mmoja na vijana wengine mbalimbali walikuwa wakifanyiwa ulawiti na baba huyo kwa muda mrefu na sometimes kuwapa hela, na wale ambao baba yule alitaka wawe mashoga kabisa ikiwemo yeye, aliwavunja uume, yaani wakati anapowaingilia, uume huwa unawasimama kwa raha kwa hiyo anachofanya huyo mzee ni kuushika na kuuvunja kama unavyo vunja kijiti ingawa uume hatoki, unaning'inia, ni maumivu makali sana aliyoyapata siku hiyo shoga huyo aliwaeleza na tokea siku hiyo uume haukusimama tena na akaendelea kuwa shoga mpaka leo hii, so wanawabadilisha kuwa mashoga moja kwa moja kwa kuwavunja uume ili wasiweze kabisa wala kumtamani mwanamke, kama haya mambo ni ya kweli, watu wanaowafanyia wenzao vitendo hivyo, wachukuliwe hatua kali za kisheria, ni wauaji, pia kuna wakati watu walikuwa wakisema kuwa mtoto mdogo hasa wa kiume afunikwe na kijitaulo sehemu zake za siri ili kitovu chake kitakapoanguka kisidondokee uume wake, kwani anaweza shoga, uume wake hautasimama maisha yake yote, nafikiri hii ni imani, hakuna ushahidi wotewote wa kisayansi.
 
Hiyo TGNP ni ya Waanglican nini, nafikiri Anglican ndio lile dhehebu lililohalalisha ushoga, viongozi wake wa kubwa wengine ni mashoga na wasagaji, na ndoa za kishoga na kisagaji wanafungisha kwa kumuhusisha Mungu, utafikiri Mungu kawahalalisha, TGNP wasituharibie jamii, watoto ni wepesi sana wa kuiga mambo bila kufikiria, mbona wanataka kuwachanganya wazazi kufanya kazi kubwa kupingana na mawazo potofu wanayotaka kuyaingiza kwenye vichwa vya watoto, wachukuliwe hatua mara moja wasitake kuzidi kuliharibu taifa na vitendo hivi vya kishoga, tunapinga vitendo ya udhalilishaji wa kijinsia hasa kwa watoto, wao wanataka watoto wachukulie vitendo wanavyofanyiwa ni sawa, kwa kuutambulisha ushoga rasmi kwenye jamii yetu, serikali yetu isicheke nao, iwachukulie hatua, hata kama wanadeal na matajiri gani, tujali na tupiganie jamii yetu.
 
Kaka Daudi, kama ulikuwa hujui hapa Tanzania na Duniani kwa ujumla kuna mashoga wasomi kwelikweli na wenye akili sana darasani na ambao wako kwenye ofisi mbalimbali kubwa na kwenye vyeo vya juu, wengine wapo mpaka viongozi wakubwa sana wa serikali kwenye nchi mbalimbali, mashoga wa aina hii wanawanunua vijana wadogo hata wakubwa wa kiume kama mashugamami wanavyofanya, waulize watu wa magazeti ya udaku wakupe habari za watu hawa, wako wengi tu, wengine ukiambiwa, utashangaa, lakini ndio mambo yaliyopo kiukweli na ndio wanayoyafanya, Dunia ina mambo mengi hii!.
 
Back
Top Bottom