kulikoni TGNP na MASHOGA

mtu chake

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
26,276
53,966
Tamasha la jinsia 2011, linaendelea katika viwanja vya Mabibo, ila kubwa linalo nishtua ni hili kundi la mashoga, ambao wako hapa, nao wanataka watambuliwe na wapewe haki za msingi..

Wameitaka TGNP iwasaidie.. kufikia malengo yao..Je wanataka haki ipi? Na watambuliwe kivipi?
 
OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,242
803
Hakuna watu siwaelewi kama mashoga,tuache kushabikia ukosefu wa maadili kama huu!
 
Bigirita

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
15,865
7,161
Tgnp wamesema chochote mpaka sasa?
Kama mtetezi wa haki za binadamu, swala hili ni tete sana, ni rahisi watu kulichukulia kiimani.
Nadhani hawa mabwana wamekosea, wanatakiwa wasiende wakati wa tamasha.
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,344
6,904
Anyway 2 cut a long story short"i hate..........".......yaani najisikia kichefu *2 hata kuwaona.
 
Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
267
Wanyongwe! Ili kuondoa uchafu katika ardhi. Wakiachwa hawa tabia hii chafu itasambaa kama kansa kwenye kiwiliwili. Namuomba Mwenyezi Mungu atusamehe na aturehemu! Jamani kumbukeni Sodoma walifanywa nini kutokana na dhambi hii! Historia iko wazi. Tafadhali wabunge na serikali wasisikilize kauli ya yeyote mwenye laana ambaye anamtetea shoga. Wamagharibi wameshalaaniwa basi chondechonde hata kama wanawapa misbda msiwasikilize juu ya mashoga kwani kufanya hivyo ni kuiangamiza Tanzania mbele ya utukufu wa Mungu.Marufuku!marufuku! Kuwatambua mashoga.Kamata mashoga wote nyonga.
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,422
8,178
Kituko nilichokiona huko hawa jamaa ni waseng kama walivyo majina yao wanachukua ndom wanaweka kwenye kifua utadhani mademu!!
 
Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Nawachukia mashoga kuliko hata ninavyowachukia magwanda. Walaaniwe na wapotee kuzimu.
 
Obe

JF-Expert Member
Dec 31, 2007
9,734
33,495
Nimewaona, nimesikia hoja zao na hasa pale kwenye warsha ya masuala ya katiba. Yule jamaa (shoga) aliyechangia kuhusu masuala ya kuzingatiwa katika katiba mpya anaonekana ni mwelewa na msomi, yote kwa yote, haki za mashoga kwa nchi kama yetu bado ni suala linaloibua mjadala mkali na hasa kutokana na ukweli kwamba jamii kubwa inakataza (kumbuka, tabia hii sasa inaendelea kukithiri miongoni mwa vijana 15-35), wao wanataka katiba iseme kuhusu kuwepo kwao.
Nadhani hata kama tunakerwa na tabia hii, bado, tunapaswa tuendelee kukemea na kukataza tabia hii chafu. ungewaona walivyokuwa wakitembea na kushoboka bila sababu ungeshangaa, kifupi ni kuwa walikuwa ni kituko ndani ya tamasha
 
Nish

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
730
111
hawa jamaa siwapendi ningekuwa presida ningehukumu wapigwe risasi kwenye masaburi yao bloodyfool
 
JO MAIKO

Member
Sep 4, 2011
22
1
Nyie mliyekuwa kwenye hilo tamasha mpaka mnafungua masikio yenu na kuwasikiliza ni mabasha nin?..Yaani popote wanapokuwepo hao makafiri malaika hukimbia na kukaa mbali kbs ,angalien mlio kuwa nao karibu mmebeba migundu..Ni bora hata wew unayeona kichefuchefu..
 
Obe

JF-Expert Member
Dec 31, 2007
9,734
33,495
Nyie mliyekuwa kwenye hilo tamasha mpaka mnafungua masikio yenu na kuwasikiliza ni mabasha nin?..Yaani popote wanapokuwepo hao makafiri malaika hukimbia na kukaa mbali kbs ,angalien mlio kuwa nao karibu mmebeba migundu..Ni bora hata wew unayeona kichefuchefu..
Sio mashogo peke yao wenye migundu mdau, wachawi, mafisadi, wauwaji, wasiowajibika nao hukimbiwa na malaika hao unaowataja. Kwa hili utawakimbia wangapi na kwa mchomoko upi, kuelekea wapi! ukiyatanabaisha haya nadhani utagundua kuwa katiba yetu pamoja na mapungufu yake, inasema binadamu wote ni sawa (ie mwanamke na mwanaume wote wana HAKI sawa)
 
Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
Wiki hii kwenye kongamano la TGNP kumeibuka kundi kuubwa la wanaume wanaojihusisha na mapenz ya jinsia moja(mashoga),ambao naweza kusema kwa mara ya kwanza wameamua kutoka hadharani na kujitambulisha kuwa wao ni mashoga,mfano kitendo cha mtoa mada mmoja ambaye ni muuguz wa ngazi ya cheti,yeye alikua akisema kuwa kufanya mapenz kinyume na maumbile kunaathar sana kwa mwanamke anaetaraj kujifungua,lakin hapo waliibika mashoga ambao inasadikika kuwa walitaka kumpiga yule mtoa mada ambae alikua akiita OISO kama sijakosea,na pia mashoga walitumia kongamano hilo kutaka watambulike kisheria,,,,,,,,inasemekana kuwa mashoga hao wengi ni wa kutoka dar na zanzibar......

MY TAKE:JE KUNA UWEZEKANO HAWA WATU WANAWEZA WAKAIBUKA NA MADAI YA KUDAI HAKI ZAO KWENYE HUU MCHAKATO WA KATIBA?????je TGNP wanaweza wakaanza kuwatetea,najiuliza kwann wameamua kwenda kupazia saut TGNP????
 
Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
4,763
1,312
Wiki hii kwenye kongamano la TGNP kumeibuka kundi kuubwa la wanaume wanaojihusisha na mapenz ya jinsia moja(mashoga),ambao naweza kusema kwa mara ya kwanza wameamua kutoka hadharani na kujitambulisha kuwa wao ni mashoga,mfano kitendo cha mtoa mana mmoja ambaye ni muuguz wa ngazi ya cheti,yeye alikua akisema kuwa kufanya mapenz kinyume na maumbile kunaathar sana kwa mwanamke anaetaraj kujifungua,lakin hapo waliibika mashoga ambao inasadikika kuwa walitaka kumpiga yule mtoa mada ambae alikua akiita OISO kama sijakosea,na pia mashoga walitumia kongamano hilo kutaka watambulike kisheria,,,,,,,,inasemekana kuwa mashoga hao wengi ni wa kutoka dar na zanzibar......
MY TAKE:JE KUNA UWEZEKANO HAWA WATU WANAWEZA WAKAIBUKA NA MADAI YA KUDAI HAKI ZAO KWENYE HUU MCHAKATO WA KATIBA?????je TGNP wanaweza wakaanza kuwatetea,najiuliza kwann wameamua kwenda kupazia saut TGNP????

Kwa Jinsi TGNP ilivyojaa watu wenye msongo wa mawazo ni rahisi sana wakaibuka na hoja ya kulianzisha ili mashoga wapewe haki ya kunajisi uanaume...Sidhani kama itakuwa rahisi sana kwa mashoga kuweza kupeta kwenye hii jamii ambayo bado imejaa watu wenye heshima dhidi ya nafsi za watu.USHOGA NI UHALIFU DHIDI YA UBINADAMU.
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,774
6,527
mmmhh hapa kuna kazi hawa jamaa wamebugi sana.. watu wamtandao wa jinsia sasa hao mashoga wako kwenye jinsia ipi..
 
Dereck Tito

Senior Member
Feb 8, 2011
102
15
Wiki hii kwenye kongamano la TGNP kumeibuka kundi kuubwa la wanaume wanaojihusisha na mapenz ya jinsia moja(mashoga),ambao naweza kusema kwa mara ya kwanza wameamua kutoka hadharani na kujitambulisha kuwa wao ni mashoga,mfano kitendo cha mtoa mana mmoja ambaye ni muuguz wa ngazi ya cheti,yeye alikua akisema kuwa kufanya mapenz kinyume na maumbile kunaathar sana kwa mwanamke anaetaraj kujifungua,lakin hapo waliibika mashoga ambao inasadikika kuwa walitaka kumpiga yule mtoa mada ambae alikua akiita OISO kama sijakosea,na pia mashoga walitumia kongamano hilo kutaka watambulike kisheria,,,,,,,,inasemekana kuwa mashoga hao wengi ni wa kutoka dar na zanzibar......
MY TAKE:JE KUNA UWEZEKANO HAWA WATU WANAWEZA WAKAIBUKA NA MADAI YA KUDAI HAKI ZAO KWENYE HUU MCHAKATO WA KATIBA?????je TGNP wanaweza wakaanza kuwatetea,najiuliza kwann wameamua kwenda kupazia saut TGNP????

Mwisho wa DUNIA!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom