kulikoni TGNP na MASHOGA

Hiyo sentensi ya mwisho ndio mtoa mada aliitoa,hapo ndipo hali ya hewa ilichafuka mdau,,,,,,
Kwa Jinsi TGNP ilivyojaa watu wenye msongo wa mawazo ni rahisi sana wakaibuka na hoja ya kulianzisha ili mashoga wapewe haki ya kunajisi uanaume...Sidhani kama itakuwa rahisi sana kwa mashoga kuweza kupeta kwenye hii jamii ambayo bado imejaa watu wenye heshima dhidi ya nafsi za watu.USHOGA NI UHALIFU DHIDI YA UBINADAMU.

Mashoga wanajinasibisha na wanawake,ndio maana wakaibukia kwenye TAMASHA LA TGNP,,,,,,,
mmmhh hapa kuna kazi hawa jamaa wamebugi sana.. watu wamtandao wa jinsia sasa hao mashoga wako kwenye jinsia ipi..

Mashoga nao ni sehemu ya jamii yetu wapewe hata nafasi za uingozi ni binadamu kama sisi

Nasikitika kusema hata karugendo anasapot ushoga kwa kisingizio kuwa 'sasa tufanyeje'

Mashoga nao ni sehemu ya jamii yetu wapewe hata nafasi za uingozi ni binadamu kama sisi
kilema si lazima uwe na upungufu wa viungo mwilini mwako hata mtindio wa ubongo wewe ni kilema pia.

ushoga sio asili ya mwafrika....hasa mtanzania, hatukuwaga na mashoga katika pre-colonial era.. Tusikubali kuipitisha hiyo sheria..

Mashoga nao ni sehemu ya jamii yetu wapewe hata nafasi za uingozi ni binadamu kama sisi
hivi wewe si ndie yule uliyeleta topic ya kusifia mashoga na kutaka wapewe haki? Hiv we jinsia gani? No homo!

Niliwai pata taarifa kuwa kuna viongozi weengi waandamiz wanapenda sana MASHOGA,,,,,,,,
ushoga sio asili ya mwafrika....hasa mtanzania, hatukuwaga na mashoga katika pre-colonial era.. Tusikubali kuipitisha hiyo sheria..

Ebu tuache kuchanganya wandugu....SEX=JINSI=ni hali ya kuwa wa kike au wa kiume(biological) na JINSIA=GENDER=mgawanyo wa majukumu katika jamii. Kwa hiyo tamasha la jinsia halimlengi mwanamke bali makundi yote ktk jamii hususani yale yanayokandamizwa....uwepo wa mashoga kwenye tamasha lile sio vibaya kwani wao wameona ndo jukwaa muafaka kwao kupaza sauti zao!

Back
Top Bottom