Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo ,upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24.

2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi ameshusha gharama ya kuunga umeme mpaka laki 2 tu kwa mtu ambaye hana nguzo.

My take.
1. Smartphone zimeondolewa VAT ili zishuke bei na watanzania wengi wanunue na serikali ikate tozo, kwa nini wasishushe bei ya kuunga umeme ili wakate tozo pia?

2. Serikali inatoa elimu bure kwa nini umeme ishindwe?

3. Serikali inatoa mikopo vyuo vikuu?
4. Serikali inakusanya kodi ya majengo kupitia Luku.
Hiyo serikali imewezaje yote hayo alafu ishindwe kushusha bei ya kuunga umeme?
Taratibu dishi limeanza kukukaa sawa.
 
Change ni sawa yuko Bright lakini hana maadili ya uongozi pia kama nchi ingekua inafata sheria huyu angekua JELA .Sasa utampaje mwizi wa Mali za umma kuwa mkuu wa mhimili wa Bunge?Kwa hali hii nchi yetu Ina safari ndefu Sana.Au ni kwa Sababu viongozi wote wa CCM ni wezi ndo Maana mnamtaka Chenge?
 
Mayalla ni vizuri kama ungekuwa specific zaidi kuhusu nani anafaa kuwa spika bora sababu hadi sasa majina ya wagombea wote kwa tiketi ya CCM inajulikana wazi. Hii itawasaidia hata baadhi ya hao wateuaji kufanya maamuzi ya busara kuliko kiufanya kwa mazoea tu.

Lakini nikifikiria mbali zaidi naona bado tatizo linakuwa pale pale sababu wanaomteua mgombea kwa tiketi ya CCM ndio hao hao wanaounda serikali hivyo hawawezi kumteua mtu mwenye misimamo mikali dhidi yao.

Hujasema nini yako matarajio kwa huyo ^Spika Bora.^ JYN was very good pale mwishoni until he repented his own true words. Nadhani alitishwa kwamba ^Ukitubu utasamehewa, na marupurupu yako utaendelea kupata.^
 
Change ni sawa yuko Bright lakini hana maadili ya uongozi pia kama nchi ingekua inafata sheria huyu angekua JELA .Sasa utampaje mwizi wa Mali za umma kuwa mkuu wa mhimili wa Bunge?Kwa hali hii nchi yetu Ina safari ndefu Sana.Au ni kwa Sababu viongozi wote wa CCM ni wezi ndo Maana mnamtaka Chenge?
^Hata kwenye chama changu cha Sisiemu pia yamo majizi!^~ alisikika mzalendo mmoja.
 
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo.
View attachment 2083138
Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini kuna vitu huwa navisema, halafu vinakuja kutokea.

Mfano mzuri ni ujio wa rais Magufuli kuwa rais wa Tanzania, niliusema humu toka mwaka 2014
Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, kuna vitu nilivisema humo kumhusu JPM, na vikatokea!.

JPM alivyokuja kuwa a game changer, kuna vitu nilisema, na kweli vikaja kutokea!.

Hata kuitwa kwa JPM na ujio wa Mama Samia, ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, nami pia niliuzunguzia ujio wa Samia.

Sasa kwenye hili la Spika, kuna sauti niliisikia na nikasema humu!, angalia nilisema nini, na lini?

Bandiko hili pia ni bandiko la unabii

Jee wajua kuwa kitendo cha kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika, Mhe. Job Yustino Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili taifa letu Tanzania, tuachane na "Bora Spika" na badala yake tupate "Spika Bora". Swali ni Je CCM ituteulia "Spika Bora", au itaendelea na ule utaratibu wake wa ki CCM, kutupatia "Bora Spika" kama kawaida?. Unabii ni huu.​

Kama ni kweli, kujiuzulu kwa Ndugai, ni mpango wa Mungu, ili taifa letu lipate "Spika Bora", CCM ina wajibu wa kutupatia "Spika Bora" wa ukweli, kati ya hao waliojitokeza. Ikitokea CCM kututeulia "Bora Spika" mwingine, maana yake, huku kutakuwa ni kwenda kinyume cha mpango wa Mungu, hivyo CCM isipotuteulia "Spika Bora" na badala yake, ikatuleulia "Bora Spika" mwingine, this time around "Karma Itahusu..".​

Spika aliyepita wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyejiuzulu hivi karibuni, hakuwa “Spika Bora”, alikuwa ni “Bora Spika”, hivyo kujiuzulu kwake, hakuna anayekusikitikia, na badala ya watu kusikitika, watu wanaolitakia mema taifa hili, wamefurahia kujiuzulu huko kwasababu kujiuzulu kwa Spika aliyetangua, kunaleta fursa ya taifa letu kupata tena “Spika Bora” kama enzi za Mzee wa “Speed and Standards“, Mzee SS. Swali ni jee CCM, itatupatia “Spika Bora” au “Bora Spika?.

Kwanza niombe radhi, wiki iliyopita nilisema wiki hii tutazungumzia kitu kinachoitwa “karma”, lakini kufuatia taifa letu kupitia katika changamoto ya kumtafuta mkuu wa mhimili wa Bunge, sisi watu wa media, tuna wajibu wa kulisaidia taifa letu, kupata viongozi bora, kwa kuonyesha udhaifu wa baadhi ya viongozi waliopita, udhaifu wa baadhi ya wanaotarajiwa sana, na uimara wa baadhi ya waliojitokeza, ili katika uchaguzi wa Spika, tusirudie makosa yaliyopita, na kwenye fursa ya kupata “Spika Bora”, tusifanye kosa tukachagua “Bora Spika”.

Nimesema Spika aliyepita hakuwa Spika Bora, alikuwa ni Bora Spika, kutokana na utamaduni wa upatikanaji wa Spika kwa CCM, Pius Mswekwa alikuwa ni Naibu Spika wa Spika Chief Adam Sapi Mkwawa, Spika Sitta alimshinda Msekwa kwa kumshinda kwa sifa, Spika Anna Makinda alikuwa Naibu Spika wa Samweli Sitta, Spika Job Ndugai alikuwa Naibu Spika wa Anna Makinda, hivyo utamaduni huu ukiendelea, baada ya Spika Ndugai kujiuzulu, anayetarajiwa sana ni Naibu Spika, Dr. Tulia Akson.

Kwa vile Spika Job Ndugai hakuwa Spika Bora, na kujiuzulu kwake kwa kashfa ni uthibitisho, vivyo hivyo CCM wakiendeleza utamaduni wa kumteua Naibu Spika kuwa Spika, huko kutatupatia “Bora Spika”, mwingine!, kwanini tupate tena “Bora Spika” wakati tuna fursa ya kupata “Spika Bora”?.

Wenzetu wazungu wanaita, “endorsement”, hivyo leo nafanya endorsement yangu kumpata Spika Bora, kwa kutumia udhaifu wa Spika aliyepita, na makosa ya msaidizi wake, huku nikipendekeza spika bora.

Angalizo: Hii sio kampeni kumpigia debe mtu yoyote, bali ni uzalendo kwa taifa langu, baada ya kuongozwa na “bora spika”, inapotokea fursa ya kumpata spika bora, sisi wenye jicho tunduizi la kuona matundu kwenye bora spika, tuyaonyeshe hayo matundu, ili tuepuke kupata bora spika, na kuangazia fursa za kupata spika bora, kuuongoza mhimili wetu wa kutunga sheria

Kuelekea uchaguzi Mkuu wa 1995, Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, mtu yoyote mwenye sifa na vigezo, anaweza kuwa rais wa Tanzania, lakini Rais Bora, atatoka CCM. Hivyo baada ya nafasi ya Spika kuwa wazi, wamejitokeza watu wengi kuonyesha nia kupitia CCM, na wote wana kidhi sifa na vigezo, hivyo kama tunataka kupata bora spika, mtu yoyote kati ya hao, anaweza kuwa Spika, lakini kama tunataka Spika Bora, ni baadhi tuu ya hao, ndio wanaweza kutupatia Spika Bora.

Vikao vya CCM vitakutana wiki hii kufanya uteuzi wa majina matatu, kisha kikao cha wabunge wa CCM kitapiga kura kuchagua jina jina, tunakiomba Chama cha Mapinduzi kututeulia Spika Bora, na kuwaomba wabunge wa CCM, kutuchagulia mgombea bora.

Uchaguzi wa Spika mpya, utafanyika kwenye kikao kijacho cha Bunge, ambapo vyama mbalimbali vya siasa, vitateua majina ya wagombea wake, kila chama mgombea mmoja. Hivyo Mtanzania yoyote, kutoka chama chochote cha siasa, aliyekidhi sifa na vigezo, anaweza kuwa Spika wa Bunge la JMT.

Lakini kwa siasa za Tanzania, tukubali, tukatae, ile kauli ya Mwalimu Nyerere kuhusu urais wa Tanzania, kuwa “rais bora lazima atatoka CCM”, ikingali inaishi hata kwenye Uspika, kuwa Spika bora wa Bunge la JMT, lazima atatoka CCM.

Kama nilivyouanza mwaka huu, katika salamu zangu mwaka mpya, kwa kusema huu ni mwaka wa mabadiliko, na kuwaomba Watanzania tubadilike, kujizulu kwa Spika aliyepita, ni mpango wa Mungu kuleta mabadiliko katika mhimili huu pia, baada ya Mungu kuleta mabadiliko kwenye mhimili wa Serikali, sasa ni zamu ya mabadiliko katika Mhimili wa Bunge, dini zote zinatusisitiza tushukuru kwa yoye, hivyo tushukuru hata kwa mabadiliko haya ya mkuu wa mhimili wa Bunge, baada ya kutokea fursa hii, ni jukumu la Bunge letu kutupatia Spika Bora.

Kwa vile media ina ushawishi mkubwa, wa kuhamasisha jamii “influence and shape the public opinion”, media za wenzetu mfano Marekani, wao wana vyama vikuu viwili, The Democrats na The Republic, kwenye uchaguzi mkuu, wao, media zilifanya kitu kinachoitwa “endorsement”, kwa baadhi ya media na watu mashuhuri na maarufu, kumuunga mkono mgombea wa chama fulani, mfano kuna watu, TV na Magazeti, yalimuunga mkono Barack Obama na chama cha Democrat.

Sisi Tanzania, ingawa nchi yetu ni nchi ya vyama vingi vya siasa, kwa mujibu wa katiba, lakini ukweli halisi kwa huku bara, na Bunge la JMT, japo ni Bunge la vyama vingi, lakini kiukweli wenyewe halisi uliopo, ni Bunge la chama kimoja CCM. Na nchi yetu kwa huku Tanzania Bara ni nchi ya vyama vingi, lakini ukweli ni nchi ya chama kimoja CCM, kikizungukwa na vyama utitiri, hivyo kama media kufanya endorsement, ni endorsement ya mgombea wa CCM.

Nafasi ya kila chama kutoa mgombea ni nafasi moj tuu, na kati ya wagombea wote waliojitokeza CCM, atakayechaguliwa kuiwakilisha CCM ni mtu mmoja, na kati ya hao waliojitokeza CCM, miongoni mwao, mtu mmoja huyo wa kutupatia Spika bora, swali ni Jee CCM safari hii, watatupatia Spika Bora?, au wataendelea kutupatia Bora Spika, kama aliyetangulia?.

Namalizia kwa endorsment yangu ya Spika bora, ni huyu jamaa Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Nawatakia Jumapili Njema
Wasalaam.

Paskali.
Unategemea CCCM wakuletee , spika bora... .
Wenda kama katiba tuliyonayo imewachosha .

Spika ambaye hataruusu mchakato wa katiba mpya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Change ni sawa yuko Bright lakini hana maadili ya uongozi pia kama nchi ingekua inafata sheria huyu angekua JELA .Sasa utampaje mwizi wa Mali za umma kuwa mkuu wa mhimili wa Bunge?Kwa hali hii nchi yetu Ina safari ndefu Sana.Au ni kwa Sababu viongozi wote wa CCM ni wezi ndo Maana mnamtaka Chenge?
Mbona ndugai hakuwa na maadili, alimtandika mgombea mwezake bakora
 
Hatimaye Ndugai ameingia kwenye 18 zako baada ya kukusotesha kwa miaka mitano😀
 
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo.
View attachment 2083138
Nafasi ya kila chama kutoa mgombea ni nafasi moj tuu, na kati ya wagombea wote waliojitokeza CCM, atakayechaguliwa kuiwakilisha CCM ni mtu mmoja, na kati ya hao waliojitokeza CCM, miongoni mwao, mtu mmoja huyo wa kutupatia Spika bora, swali ni Jee CCM safari hii, watatupatia Spika Bora?, au wataendelea kutupatia Bora Spika, kama aliyetangulia?.

Namalizia kwa endorsment yangu ya Spika bora, ni huyu jamaa Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Nawatakia Jumapili Njema
Wasalaam.

Paskali.
Kuna dalili njema ya Tanzania kupata Spika Bora.
Kati ya Wagombea watatu waliopitishwa na CCM, kuna Spika Bora, Bora Spika na mtu neutral.
let's put our fingers crossed wabunge wa CCM, watuchagulie Spika Bora.
P
 
Kwenye Bunge la CCM lilowekwa Na Magufuli? Huko upate spika ?
 
Wanabodi -

Spika aliyepita wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyejiuzulu hivi karibuni, hakuwa “Spika Bora”, alikuwa ni “Bora Spika”, hivyo kujiuzulu kwake, hakuna anayekusikitikia, na badala ya watu kusikitika, watu wanaolitakia mema taifa hili, wamefurahia kujiuzulu huko kwasababu kujiuzulu kwa Spika aliyetangulia, kunaleta fursa ya taifa letu kupata tena “Spika Bora” kama enzi za Mzee wa “Speed and Standards“, Mzee SS. Swali ni jee CCM, itatupatia “Spika Bora” au “Bora Spika?.

Kwanza niombe radhi, wiki iliyopita nilisema wiki hii tutazungumzia kitu kinachoitwa “karma”, lakini kufuatia taifa letu kupitia katika changamoto ya kumtafuta mkuu wa mhimili wa Bunge, sisi watu wa media, tuna wajibu wa kulisaidia taifa letu, kupata viongozi bora, kwa kuonyesha udhaifu wa baadhi ya viongozi waliopita, udhaifu wa baadhi ya wanaotarajiwa sana, na uimara wa baadhi ya waliojitokeza, ili katika uchaguzi wa Spika, tusirudie makosa yaliyopita, na kwenye fursa ya kupata “Spika Bora”, tusifanye kosa tukachagua “Bora Spika”.

Wasalaam.

Paskali.
Wewe KILA mtu anayetuliwa unamsifia na kumpamba! Unalenga kufanikisha nini?
Mkuu Yoda, jee ulifanikiwa kusoma makala zangu kumtafuta mteule huyu?.
P
 
Je, wajua kuwa kitendo cha kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika, Mhe. Job Yustino Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili taifa letu Tanzania, tuachane na "Bora Spika" na badala yake tupate "Spika Bora".
Paskali.
Dr. Tulia kaanza kuonyesha ni Spika Bora, kwa Bunge kuanza kuisimamia Serikali
Wanabodi,

Moja ya kazi za Bunge ni Kuisimamia serikali. Bunge la Mhe. Job Ndugai, lilituhumiwa kuwa ni Bunge dhaifu kuwahi kutokea, hivyo Spika Job Ndugai kuhesabika ni Spika dhaifu kabisa kuwahi kutokea, hivyo kupachikwa jina la "Bora Spika" Kwa kuanzia mimi niliisikia sauti hii Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...

Job Ndugai alipojiuzulu tukasema Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

Kwa vile Dr. Tulia alikuwa ni Naibu Spika wa Spika dhaifu, alipochaguliwa kuwa Spika, kuna watu walidhani Bunge la Tulia litakuwa ni Bunge Dhaifu kama Bunge la Ndugai.

Nilitoa ushauri huu Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

Sasa hiki ndio kinatokea Leo,

Bunge la Dr. Tulia, sasa limeanza kuisimamia Serikali kiukweli ukweli!, leo limesimamisha shughuli zake zote kujadili hoja ya dharura ya Mhe. Omari Kigua, kujadili kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol na dizeli.​

Hongera Sana Spika Tulia, Bunge sasa linaisimamia serikali

Keep Watching Bunge Live

na Kazi iendelee!

Paskali.
 
Nikusaidie,

CCM tunajuana,hakuna malaika, wote ni wale wale.

Mimi namuendorse Chenge, hakuwa kikaragosi cha Jiwe

Pia namuendorse Masele, hakue ndeshwa na Jiwe, na alisimamia msimamo wake.

Simuendorse Tulia, kwanza aliiupata huo ubunge na unaibu spika baada ya kupindua meza kwenye ile kesi ya kusimama mita 200 toka kituo cha kupigia kura.

Huyu na Ndugai wote ni crone ya Jiwe.

Hawafai.
Good
 
Back
Top Bottom