Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

naona ni vizimba vya kuwekea uchafu
Sasa swali langu kwake hivyo vizimba vinahishika,kubebeka au watu wakishatupa
Hapo taka,wakandarasi wa taka wanakuja hapo
Kubeba taka kutoka hapo

Ova

Hizo ni sub garbage dump stations. Hapo gari la taka linakuja kuzoa.

Hizo ni diameter 3, tunauwezo wa kufanya kuanzia diametr 1 mpaka 20. Na kina cha robo meter mpaka meter 2 kama zilivyo.
1624561851257.png
 
Hizo ni sub garbage dump stations. Hapo gari la taka linakuja kuzoa.

Hizo ni diameter 3, tunauwezo wa kufanya kuanzia diametr 1 mpaka 20. Na kina cha robo meter mpaka meter 2 kama zilivyo.
View attachment 1828902View attachment 1828902
Ok,kwa hiyo ni kama vizimba
Changamoto naona kwenye maeneo ya watu
Ni namna gani ya kuzi locate mahali pa kuzijengea
Kipindi cha nyuma dar kna maeneo zilikuwepo
Wamejenga watu wanaweka uchafu,gari ya taka inakuja kubeba kutokea hapo naona nyingi waliziua

Ova
 
Ok,kwa hiyo ni kama vizimba
Changamoto naona kwenye maeneo ya watu
Ni namna gani ya kuzi locate mahali pa kuzijengea
Kipindi cha nyuma dar kna maeneo zilikuwepo
Wamejenga watu wanaweka uchafu,gari ya taka inakuja kubeba kutokea hapo naona nyingi waliziua

Ova

Hizo za meter tatu ni substation, zetu hazijengwi zinakuwa installed, zina lock.

Za meter moja ni kama pipa kubwa la taka, nazo ni kama hiyo lakini size ni ndogo.

Hizo mfumo wake ni kuziweka maeneo ya wazi yenye ukubwa huo kila mwisho wa mtaa. Nje ya majengo zinakuwa ndogo za meter moja, ambapo gari ndogo kirikuu au toroli inazikusanya na kuzipeleka kwenye substation, lorry kubwa linakuja hapo tu kuzoa. Suluhisho la kudumu la lorry kubwa za taka kupita mitaa midogo.

Zinadumu miaka 50 moaka 100 na ni wepesi kuzifanyia usafi mara kwa mara. Zinaweza kupakwa rangi na kupendezesha mitaa. Zinaweza kuwa na mifuniko na milango ya kufunguka ki wepesi sana.

Tutazionesha kwa stages tofauti. Hakuna taka kuzagaa.

1624563908578.png
 
Tangazo gani halina picha watu wakaona unachokiongea?

Namna gani zinabebeka na kuhamishika? Nimependa hizo tofali hasa kama mtu unataka kujenga tenki la kuhifadhia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zinabebeka na kina mama wawili. Ni nzito kweli, na ni kweli kabisa moja ya kazi yake ni kujenga tank za maji la zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu kabisa.

Kwa gharama nafuu simaanishi kuwa ni bei ndogo, hapana. Namaanisha wepesi wake wa kuongeza ukubwa wa tank kidogo kidogo, si lazima uwe na pesa nyingi kwa wakati mmoja. IUnaweza kuanza na tofari kozi moja ukapata tank lenye kina cha robo mita, siku za usoni, mfuko ukikaa vizuri ukaongeza kozi nyingine na nyingine na nyingine, mpaka kina cha mita mbili (kozi nane).

Hizo tofari zina kazi nyingi sana sana, paamoja na:

-Tank za kuhifadhi maji safi juu ya ardhi na chini ya ardhi.
-Tank za za kuhifadhi maji taka (cesspit tank).
-Tank za kutengenezea bio gas kwa mbolea mbichi ya ng'ombe.-Tank za kuchenjulia dhahabu, kwa wale wanaochenjua dhahabu watanielewa.

-Pia zinaweza kuwa vyumba vya kulala staili ya msonge wa juu na chini (ghorofa).
  • Viosk vya biashara
  • Stand za kuzuwia mvua na jua vituo vya mabasi (vinaweza kuwa nusu mduara. Vyenyewe vinakua pia ni benchi za kukalia.
  • zinawezaa kuwa swimming pools kuanzia za watoto nyumbani mpaka za wakubwa kwa kuweka vina na ukubwa wa mzunguko tofauti.
  • Zinaweza kuwa mabwa ya kufugia samaki.
  • Zinaweza kuwa mabwayya bata.
  • zinaweza kuwa (kwa gharama ndogo sana ya ziada) jacuzzi na au whirlpool birth za nje au ndani ya nyumba.
  • kwa kuongeza gharama kidogo ya ziada zinaweza kuwa sauna rooms.

Pia kama una wattoto walioanza kutambaa zinaweza kuwa uzio wao wa kuchezea nje ya nyumba, ukiwajazia michezo yao humo hawatoki. Salama kabisa.

Matumizi yake hizo ni ubunifu wa mtumiaji tu.

Abdul: 0625249605


-
 
Hii mada kuna mtu humu anajibu kwa jazba utadhani ana share ya project husika.

Mtoa mada ameshatoa tahariri yake, hivyo tunasubiri akipandisha picha/video.
Ni kiherehere kinamuasha huyu kikongwe FaizaFoxy yaani ni kujipendekeza tu, umejikosha kwa Mohamed Said umepigwa kibuti sasa ukiona Mzee yeyote humu unajipendekeza
 
Of course, share tunayo hapo, kila Muislam, hujaona kuwa ni wazee wa Madrassa? Unafikiri zinajinedesha zenyewe?
Acha kujifunua uchi kwa kiherehere....sawa? Unaingilia biashara ya watu na kudominate wakati hujaitwa
 
Back
Top Bottom