Zion Daughter (Binti Sayuni??)
umeona eeh,
no body cares matatizo ya mtu,
they care pesa, ok aliyetoa mchango ajitokeze ...kimya...
ni namna mojawapo kubwa sana ya kukoseana uaminifu.
Unachotetea ni nini Mamndenyi..!?? aliyekosa uaminifu ni Ruhazwe JR , Na usidhani kuwa watu wanalalamikia pesa, no. hiyo ni pesa ndogo sana, na waliotoa hizo hela hawakutoa kwa kuwa wanazo sana la hasha, walitoa kwa moyo na mapenzi yao kuona chit chat inaendeleza interaction ya watu. Ruhazwe JR alipaswa kuonyesha uaminifu wake katika hili. Mbona awali tulipoambiwa anaumwa we were patient na tukawa nae kimaombi tukimtakia quick recovery.!!? Leo hii wewe unasema waliochangia pesa waseme uwarudishie, unadhani utaweza kurudisha imani waliyopoteza kwa Ruhazwe JR ..!??? ,Na kama uwezo huo unao kwa nini hukujitokeza kutoa ufadhili wakati huo RUHazwe anaomba wafadhili kujitokeza.
Tunampenda sana mwenzetu Ruhazwe JR , lakini je kwa hili lililotokea utatushawishi vipi tusiamini kuwa Ruhazwe JR katumia mtandao huu kutapeli..!??, Je inatosha tu kutuambia anaumwa au ana matatizo na muda unaenda na tuamini tu..!?? I'm thinking...
Last edited by a moderator: