Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Waelewe bana watu wanaitaji nini. Hawajasema mludishe pesa..
Waliotoa pesa zao waseme ili zirudishwe,
nimejikomiti i will refund kama yupo aliyetoa
aseme atoe kielelezo pesa inatafutwa lakini
uhai hautafutwi,
leteni vielelezo vya hela mliyotoa.
 
Heshima kwako, kwa kuwa kwa kiasi fulani umejitoa mhanga kuondoa udhia huu, watu8 ana maswali kadhaa kwako;

1. Mbona ndugu yetu huyu akipigiwa simu inaita tu na haipokelewi? binafsi taarifa za kuumwa kwake nilizipata nje ya jukwaa na kwa kuwa nipo mjini hapa nilijaribu sana kumtafuta pasipo mafanikio. Nikapiga moyo konde nikiamini panapo unafuu wa mwili na akili nitapata kuwasiliana na ndugu yetu, lakini ukapita muda na hatimaye ukawa wakati hatimaye sasa ni majira na bado hakuna lolote jipya.

2. Awe anaumwa au haumwi, kwa sasa anaweza kupatikana vipi? Kama anaumwa tumtembelee kama marafiki kutoa mkono wa pole na kama yupo fit basi ajitokeze na kutoa tamko lenye mashiko.

3. Naomba utambue kuwa kuna baadhi ya wadhamini hapo juu waliweza kuahidi au kutoa udhamini kutokana na ushawishi wetu wadau wengine. Hili sipendi sana kuliongelea ila binafsi niliweza kuwavutia wadhamini wawili na kuwaunganisha na mratibu na wadhamini hao kwa ujumla wao zawadi zao ni karibu 50% ya zawadi yote. Sasa nadhani unaweza ukatambua kuwa hili lilikua ni zaidi ya zoezi la upigaji kura ndio maana wahusika wakuu wanakuwa na shauku ya kipi kiendeleacho.

Chilli unajali sherehe kuliko msiba eeh?
Chilli ulitoa bei gani kwanza? Niko kimama mzazi zaidi hapa.
 
Last edited by a moderator:
Baba V nitasema nini kwa watu wasiokuwa na imani wala huruma kwa mwana jamii mwenzetu kama hivi. Baba V unakumbuka ulikaa nyuma ya nondo siku tatu tu
ukakuta tayari kuna uzi wa kukudhoofisha,
je ungekaa mwezi na miezi ingekuwaje.

Mi naona la maana wale ambao walimpa Ruhazwe JR hela zao
kwa ajili ya zawadi wajiseme ili warudishiwe hiyo fedha.

Kipekee naudhamini sana utu wa Ruhazwe JR,
na tena bado nina imani naye.
Mamndenyi inawezekana ni watu wachache mnao amini ukweli wa jambo hili japo wengi hasa wageni ktk jukwaa hili la chit-chat nikiwemo mie hatuamini hatuamini kwa kuwa jr mwenyewe kashindwa kutuaminisha embu jiulize wale guest ambao walikuwa wanafuatilia huo mchuano watakuwa wamepata picha gani? Ngoja nisubiri tamko la mume mwenza Vin Diesel
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwako, kwa kuwa kwa kiasi fulani umejitoa mhanga kuondoa udhia huu, watu8 ana maswali kadhaa kwako;

1. Mbona ndugu yetu huyu akipigiwa simu inaita tu na haipokelewi? binafsi taarifa za kuumwa kwake nilizipata nje ya jukwaa na kwa kuwa nipo mjini hapa nilijaribu sana kumtafuta pasipo mafanikio. Nikapiga moyo konde nikiamini panapo unafuu wa mwili na akili nitapata kuwasiliana na ndugu yetu, lakini ukapita muda na hatimaye ukawa wakati hatimaye sasa ni majira na bado hakuna lolote jipya.

2. Awe anaumwa au haumwi, kwa sasa anaweza kupatikana vipi? Kama anaumwa tumtembelee kama marafiki kutoa mkono wa pole na kama yupo fit basi ajitokeze na kutoa tamko lenye mashiko.

3. Naomba utambue kuwa kuna baadhi ya wadhamini hapo juu waliweza kuahidi au kutoa udhamini kutokana na ushawishi wetu wadau wengine. Hili sipendi sana kuliongelea ila binafsi niliweza kuwavutia wadhamini wawili na kuwaunganisha na mratibu na wadhamini hao kwa ujumla wao zawadi zao ni karibu 50% ya zawadi yote. Sasa nadhani unaweza ukatambua kuwa hili lilikua ni zaidi ya zoezi la upigaji kura ndio maana wahusika wakuu wanakuwa na shauku ya kipi kiendeleacho.
watu8 hapo umehusika kutetea hoja yangu, watu wanadhani kuwa hili shindano lilikuwa la kitoto toto,kumbe lobo ya dunia ililiona, kwa wenzetu weupe tayari hapo wamepata fundisho kuwa tz si nchi ya kuamini 100% wakati kumbe si wote wenye tabia hii
 
Last edited by a moderator:
Baba V
kweli najua aliko kwa kuwa ni my son, Slave kwani mnapoambiwa Ruhazwe JR alipata matatizo, akiwa kwenye matatizo
na yeye akaugua, ni nini ambacho hauelewi, hiyo laki moja ndo inakutoa imani?
Unajali pesa kuliko utu? Mi mwenyewe nilisema natoa zawadi ya mshindi na. 3 lakini
na haraka haraka zako hata jina langu silioni,
why all these man? Hivi ulishawahi kupata shida kweli?
na wakati mwingine we are all grown up (Isipokuwa noahism ndo mtoto)
tuangalie pia shida za wenzetu,
Tell me who have already contributed some cash for that purpose so i may refund the same.
Mamndenyi niltaka kukufanya nyumba ndogo yangu kumbe utanisumbua kwa ujuaji wako, kama vp mrushie mshindi wetu hiyo buku mbili yangu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahah...nacheka utadhani mazuri, sasa mkuu hata ukipafahamu sidhani kama itasaidia kitu chochote.

Haya, kwa mwongozo tu ni kuwa huyu mtu anaishi Magomeni Mapipa,kwa habari zaidi aulizwe Madame B ila msiniulize kwa nini nimewaelekeza kwa Madame B.................
 
Last edited by a moderator:
Matatizo yake amefikia hatua ya kutoweza kuandika sms ktk simu,ila kuingia jf anaingia kama kawa,,huyo ela za watu kala christmas na new year alikuwa kapinda aseme ukweli tu akaamua kusema late january kwa kuwa labda atapata mshahara ama vp naona amegonga mwamba anaendelea kusema matatizo

Mamndenyi acha kutete bana, huyo jamaa hana ustaarabu, izo pesa ameshindwa kumpa huyo mleta taarifa wake humu? Yeye angekuja hapa jukwaani au ange m PM mshindi na kumueleza ukweli, kama iyo pesa aliitumia kipindi amepata matatizo angeeleweka na wala tusinge fikia hapa tulipo fikia, na hakuna anae furahia matatizo ya mwenzake, ILA MTU ASITUMIE MATATIZO YAKE KAMA MWAMVULI WA KUJIFICHIA
 
Last edited by a moderator:
Slave laki moja kweli itugombanishe?hujawapi kupata shida? Je kila ulilopanga maishani huwa linaenda sawa?

Mimi nilishahisi harufu mbaya hapa nikakaa kimya, na juzi Zion Daughter alikua anamteta mbaya.
Niko mjini kwa sasa asee ila nina mpango wa kwenda huko mwezi ujao.
Baba V
kweli najua aliko kwa kuwa ni my son, Slave kwani mnapoambiwa Ruhazwe JR alipata matatizo, akiwa kwenye matatizo
na yeye akaugua, ni nini ambacho hauelewi, hiyo laki moja ndo inakutoa imani?
Unajali pesa kuliko utu? Mi mwenyewe nilisema natoa zawadi ya mshindi na. 3 lakini
na haraka haraka zako hata jina langu silioni,
why all these man? Hivi ulishawahi kupata shida kweli?
na wakati mwingine we are all grown up (Isipokuwa noahism ndo mtoto)
tuangalie pia shida za wenzetu,
Tell me who have already contributed some cash for that purpose so i may refund the same.
Thank you very much Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Na akiendelea kunyamaza hata panya na mende wa nyumbani kwake hawatasalimika! Ngoja narudi.
 
Back
Top Bottom