Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Kiukweli inakera sana... ina maana jamaa yupo serious kiasi kwamba anashindwa kupost neno hapa???

Me nafikiri hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya mtu huyu.... Kwani wakati anaanza huu mchakato aliwasiliana na uongozi wa JF mpaka wakaweka poll.... Kwanini hao waliopatana naye mpaka wakaweka poll wasitoe tamko!!!!

Tunaomba wale mods waliohusika na mchakato wa kuwezesha poll watoe TAMKO tafadhali!!
 
Kwa picha hii kuisha na stering kawa wa kichina inanifanya nisite kushiriki jambo lolote linalohusu JF MISS CHIT CHAT. Ruhazwe JR hakutenda vema. Just imagine kesho akatoa zile zawadi kwa washindi, je zina raha tena? COPY: charminglady Arabela.
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli inakera sana... ina maana jamaa yupo serious kiasi kwamba anashindwa kupost neno hapa???

Me nafikiri hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya mtu huyu.... Kwani wakati anaanza huu mchakato aliwasiliana na uongozi wa JF mpaka wakaweka poll.... Kwanini hao waliopatana naye mpaka wakaweka poll wasitoe tamko!!!!

Tunaomba wale mods waliohusika na mchakato wa kuwezesha poll watoe TAMKO tafadhali!!
:A S crown-2:
 
Last edited by a moderator:
:frusty::frusty::frusty::frusty:
 
Chilli habari yako? Huyu ndugu yetu ame tufedhehesha sana, kashindwa kabisa kutunza thamani yake kwa pesa kama hiyo? Nitapo kua naenda geita nitapita hapo kuchukua sato wangu, maana naona umejisahaulisha kabisa..!
Sitashangaa sana kama huyu Mu-sir RUHanzwe Jr zikiwa ni ID nyingine za MzunguMndali.
CC Marry Hunbig noahism Baba V
 
Last edited by a moderator:
tukimpata lazima tum:lock1:

Back
Top Bottom