Kwa hiyo mkuu ikipita siku sijakuona huku niweke msiba? [emoji23][emoji23] tusije sumbuana nikaweka msiba kumbe haukuwa na bando!![emoji13] [emoji13] [emoji13] aisee hata unyayo sijaacha humu kama ushaidi .Siwezi kaa bila Jf siku ukiona nimepotea ndio hivyo itakuwa safari tena nitakie tu kila la kheri nilale salama .
Walau sumbai mpo naye bega kwa bega
Baba P nikifa sijui kama ataleta hata taarifa .