Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Status
Not open for further replies.
Huu uzi unanikumbusha habari mmoja kwenye biblia kuhusu Amnoni mwana wa Daudi aliyempenda umbu/dada yake Tamari nakukonda siku baada ya siku na kuigiza kuumwa huku akipewa ushauri na rafiki yake kuomba dadaye kwa mfalme amwandalie chakula na kuitumia fursa hiyo kumbaka,narudia kuisoma tena sijui kwanini....
 
Wengi wamenitahadharisha kwenye hii thread. ahsante mkuu
 
Aiseee mwenyezi mungu amtie minguvu na aache dhambi akipona amina
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom