Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Status
Not open for further replies.
Mwanaume akitaka nyapu atajisingizia hadi kifo....
Jamaa mmoja alikua anamtaka rafiki angu nae aliandika msg za hivi anaaga kwamba anarudi kwa muumba, anaakaa baada ya mwaka anaibuka tena nimekumiss unanitesa
Yesu wangu!! Hivi hawa viumbe wanatabia gani hizo? Ila huyu kama nikijua kuwa ulikuwa ni upuuzi wake, aisee ATAOGA MATUSI haki ya nani
 
Mwanaume akitaka nyapu atajisingizia hadi kifo....
Jamaa mmoja alikua anamtaka rafiki angu nae aliandika msg za hivi anaaga kwamba anarudi kwa muumba, anaakaa baada ya mwaka anaibuka tena nimekumiss unanitesa
😂😂😂😂umenikumbusha enzi hizo shuleni kuna rafiki angu alimtongoza demu akajifanya anaumwa magonjwa ya moyo so demu akaogopa kumkatalia kwa kuhofia asije ua,jamaa alikula akasepa
 
Wanajf habarini za asubuhi.

Leo asubuhi nilipokea sms kutoka kwa mwanaJF mwenzetu Tutor B. katika ujumbe wake aliandika kuwa anaumwa sana.

Baada ya kusoma ujumbe huo nilimpigia akakata simu, akaandika tena sms akisema nisimpigie ila nitume sms kwa kuwa anaumwa sana kichwa na kwamba amezuiliwa kuongea na simu kwa muda wa siku 90.

Lakini sasa kitu ambacho sijamuelewa ni hizi sms zake ambazo ambazo alinitumia kwa mfululizo, Hapa nitazinukuu.

1.Wajulishe wanaJF, unisaidie kuwaaga
2.Waage kabisa, taarifa zingine mtapata kwa redio na TV
3. Waambie tuonane ulimwengu wa roho
Nikamuuliza swali, ina maana hutaingia tena JF? akanijibu:
4. Nitaingiaje wakati naenda kwa baba? Nasikitika kuondoka...
5. Najisikia kuhama ulimwenguni kuna sehemu nyingine nzuri zaidi
6. Vipi mbona unaguna? Pole kwa kunipoteza.

Na bado hadi muda huu anaendelea kunitumia sms za kuwaaga wana JF


Nimeona tu niweke huu uzi hapa maana, simuelewi huyu member kwa haya anayonitumia kwenye sms.
Weka screen shot otherwise hii nayo itakua chai ya mchana...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom