Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Status
Not open for further replies.
Ningekuwa simjui nisingemwita hivyo. Wewe na yeye wote mnapaswa kuniamkia...

BTW kama ulikuwa unaweza kumtext atupe taarifa kuwa unaumwa... kwanini hukuanzisha thread mwenyewe kutuhabarisha?

Tukiacha hayo kwahiyo hivi sasa ushapona kabisa? Tatizo lilikuwa nini?

Ok! sio kwamba nimepona ila ile hali ya kujisikia vibaya imepungua; naendelea vizuri
 
Ningekuwa simjui nisingemwita hivyo. Wewe na yeye wote mnapaswa kuniamkia...

BTW kama ulikuwa unaweza kumtext atupe taarifa kuwa unaumwa... kwanini hukuanzisha thread mwenyewe kutuhabarisha?

Tukiacha hayo kwahiyo hivi sasa ushapona kabisa? Tatizo lilikuwa nini?
shehe nina wasi wasi huyu kijana mtiifu amekula mali za watu au alikuwa anamendea mali za wapemba, wamemu alert tu
 
You are seconded by me and I myself.

Unaona sasa..kumbe wanaleta stori za chit chat huku aisee...this is so stupid...wewe NAHUJA nawe sikukudhania upo namna hii

Ahsante sana mkuu! wengine wakachangamkia fursa ya kuomba namba za mtoa taarifaa! Futeni namba hiyo! nipo bado jamani.
 
Acha kuzua taharuki za kitoto,
Ushakuwa mtu mzima wewe,
Acha kudekadekaa,
Jinga kweli
NAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom