Kuch

Kuch

Halafu hakuna raha kama kula kuku na mayai yake.. Unaangalia tu uanze na kipi😂
Ahaha 🤣

Zamani ulikuwa ukiwatembelea Wageningen, unapeleka zawadi. Na ukitoka ugenini unatoka na zawadi.

Yan hata kama sio mfugo, ukiwatembelea unakuta wana miti ya matunda. Ukienda na mapapai, unarudi na maembe, raha sana.
 
Kwenye zile harakati zako uliwahi kula zile nyama🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️ maana juu unasema unakula na visivyo liwa
Maneno ya Mungu yanasema .. Tazama ya kale yamepita.. Na sasa yamekuwa mapya...✌🏿💪🏿😂
 
Raha ya supu ya utumbo ni tule tumavi mavi , sio unaosha yanakua kama hayaView attachment 3398295
goat-testicle.png

Usisahau na hii ukichinja mbuzi..
 
Pilau la maharagwe? Haha

Nilishawah enda ukweni wamepika pilau, wanataka waweke maharage juu, na mchuzi wa bamia.

Kuna watu wanajua kuharib ladha ya pilau kwel
wanataka waweke maharage juu, na mchuzi wa bamia.🥺🥺🥺🥺😩😩😩
 
Wachaga ukitutoa kwenye vyakula vya asili yetu ni weupe kinouma sema vyakula vyetu vitamu sana , ukishushia na bohora moja la mbege mambo yanakua poa😅
Huwa napika mbege home mwenyewe, mara ya mwisho ilipanda sana kuna kidumu kililipula ndani ya fridge.

Ngararimo ndio sijawah pika, ila kiburu kinapikwa sana home na niliagiza magadi Rombo, ya huku hakiwi kitam kivile

Hii ilikuw last year mbege

20230704_000528.jpg
 
Back
Top Bottom