Yeah zipo vizuri, hizo ndio beer za wapiga spirit, vodka, whiskey n.k...12% hiyo inaonekana kitasa bwashe , hapo lazima mapaja ya kuchi yahusike kwanza tumboni🤔
Raha ya supu ya utumbo ni tule tumavi mavi , sio unaosha yanakua kama hayaMacho yalivyo na maji na ule weusi🤮🤮🤮Usinifanye nitapike
Ninao hao.Mtamu mpaka kisogoni
🤣🤣🤣Ulipotaja MAPAJA 😋 kuna kitu nikakumbuka...! Au basi nimekisahau🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿😂View attachment 3398297
Sawa mangiRaha ya supu ya utumbo ni tule tumavi mavi , sio unaosha yanakua kama hayaView attachment 3398295
Ndio, zipo kwenye stores/groceries/supermarkets kubwa..Duh 12%? Zaidi ya balimi😂
Mm nashangaa🤔 kwenye masherehe 🍗Sijawah kula huyu kuku atakuw na nyama ngumu hatari
Shalom shalom , Bwana yesu asifiwe ndugu mtumishi🥲Sawa mangi
Siko bar mkuu, location nipo Nyumbani kwa bibi na babuToa location usaidike faster
Raha na ladha ya utumbo lazima unuke kidogo kale kaharufu😋😂Raha ya supu ya utumbo ni tule tumavi mavi , sio unaosha yanakua kama hayaView attachment 3398295
Kwahiyo na wew unakula macho ya kuku🤣🤣🤣🤣Yakipikwa yanabadilika rangi na maji yanapotea
Vunja mifupa angali bado meno ipo.Mm nashangaa🤔 kwenye masherehe 🍗
Unakuta kuku mgumu alf ukigeuka watu wanatafuna kwelikweli ukigeuka watu wanakuangalia unahangaika kutafuna kuku