Kwamba tamu kuliko matusiNi kweli maana si kwa utamu ile ma2c yanasubiri😂😂🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Mzee pilau uchagani linakuw jeupe jeupe, nilikula pilau jeusi sehemu, hatariWaislamu wanapika pilau matata sana
Mambo gani ya kutajiana funza, kwenye vitu muhimu boss utamaliza kuku wote tukikuachia..🤣🤣Good thing nafuga kuku na Bata nyumbani kwangu
Nawafugia ndani ukiwachinja nyama tamu sana na laini, ila tatizo kuku wanaokulia Juani hali vizuri anakula funza lazima nyama yake iwe jiwe.
Uchagani hakuna pilau ni viroja bwashee , utasikia pilau la vitunguu 😅Mzee pilau uchagani linakuw jeupe jeupe, nilikula pilau jeusi sehemu, hatari
Usije jichanganya ukalipiga pilau jeusi na bia
Wa Dar mwingine huyu,Kuku kwa keupe pembeni
Keupe ndio nini mkali?Kuku kwa keupe pembeni
Keupe ni konyangi kama asemavyo Dudu bayaWa Dar mwingine huyu,
Ugali wa mtama kuutaja tu mtihani!!
Kuna raha ukiwafuga kuku mwenyewe, nyumbani hutakiwi kukosa mifugoMambo gani ya kutajiana funza, kwenye vitu muhimu boss utamaliza kuku wote tukikuachia..🤣🤣
Dah....mna maneno Gen Z,Keupe ni konyangi kama asemavyo Dudu baya
Sema mwaka jana nikiwa kule walipika rembwe, aisee nilivimbiwa sijawah Ona.Uchagani hakuna pilau ni viroja bwashee , utasikia pilau la vitunguu 😅
Kwenye zile harakati zako uliwahi kula zile nyama🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️ maana juu unasema unakula na visivyo liwaKaribu bila shaka