Na unapomla ni Mara mia udondoke kuliko kukaa karibu na ukutaSijawah kula huyu kuku atakuw na nyama ngumu hatari
Haha baba yangu mdogo alikuwa anawafuga. Ukiingia bandani hakikisha ukiwawekea chakula usiiname ukawqpa mgongoMtamu mpaka kisogoni
Macho ya kuku mbona matamu tu bwashee?Iko kichwa umekipika kizimakizima hujatoa ata macho🤔
Supu safi na haka kamoja 😋😋
Hii ni maajabu.!!Macho ya kuku mbona matamu tu bwashee?
Nais kutapikaMatamu😋