NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,905
VICHAA ni WENGI SEMA hatuwajuialafu anakuja mtu kufananisha nyama ya kuku na uyoga
VICHAA ni WENGI SEMA hatuwajuialafu anakuja mtu kufananisha nyama ya kuku na uyoga
🙈 tunapata tab huku
Sioni moto hapo kwa jiko ama kuch anapikwa kidigitali?
Kwani huyo ndio yule wa kilingeni aliye kuwa na rangi ya kijani!Hujala vitamu wewe . hujui kwamba vitamu sana vina sura mbaya?😂
Leo najua amewakaribisha hata jirani zake wa mtaa wa kijani.Unamsimamia shemeji jikoni?
Kumbe watu wa O'bay mbakula hadi miguu ya Kuku? Sasa mbona sisi wa Tandima mnatukebehi sana?
HahahaMimi sikai huko.. Kwangu ni Msata Kilingeni😂