Konyagi Mkuu inaitwa KeupeKeupe ndio nini mkali?
Sisi wakali wa ndizi nyama , mshakova/ mnyanyile/ mnyangile , wa nyama ya ng'ombe na utumbošSema mwaka jana nikiwa kule walipika rembwe, aisee nilivimbiwa sijawah Ona.
Kuna vyakula vingine vipigwe marufuku tu
Kumbe, yah tule kwa kujipenda bwasheKonyagi Mkuu inaitwa Keupe
Naona Mshana anajifagilia Mara Kuku Mara keupe Mara rangi rangi (Wine)
šš umepatia sanaHahahaš au la maharagweš
Hakika hapo hapo anaangusha keupeNyie ndio wale mnaomfanya Mama Samia aseme tupo vizuri kuliko USA na Ulaya...yani mboga yakueka kwenye freazer iliwe week 4 kwa kupokezana na Haragwe na Dagaa wewe unasafisha Day one š.
Binafsi napenda sana machalari ya mbuzi utumboSisi wakali wa ndizi nyama , mshakova/ mnyanyile/ mnyangile , wa nyama ya ng'ombe na utumboš
HahahaWasalam
Wakuu hii ni seriously issue kama una mdogo wako wa kike hakikisha hasomi an kamaliza shule na ni mzuri pia anajitambua..
Anaweza kufanya biashara kama
Kuuza Vijora ofisini
Uwakala
Stationary
Naweza kukukaribisha umri 18-23...
Hiki kigezo cha umri zingatia sana sana
Hii ni ofa ambayo natoa kwa week moja tuu ikipita sitaki mtu anisumbue PM...
Kuhusu kulala kula na nk mimi ntashughulika...
Atalala kwangu...
Atakula kwangu....
Na hapo unaweza niita shemeji yako
Halafu hakuna raha kama kula kuku na mayai yake.. Unaangalia tu uanze na kipišKuna raha ukiwafuga kuku mwenyewe, nyumbani hutakiwi kukosa mifugo
Nilishawah kula kuku nikawa napost everyday three month non stop, what a history
Maisha magumu ila kufurahi ni maamuzi yako mwenyewe
Pilau la maharagwe? HahaHahahaš au la maharagweš
Sawa Mkuu kuna ile pombe inaitwa Kimpumu unakunywa Ahsubui unalewa jioni ndo umetumia maana Ahsubui ulikuwa sawaWasalam
Wakuu hii ni seriously issue kama una mdogo wako wa kike hakikisha hasomi an kamaliza shule na ni mzuri pia anajitambua..
Anaweza kufanya biashara kama
Kuuza Vijora ofisini
Uwakala
Stationary
Naweza kukukaribisha umri 18-23...
Hiki kigezo cha umri zingatia sana sana
Hii ni ofa ambayo natoa kwa week moja tuu ikipita sitaki mtu anisumbue PM...
Kuhusu kulala kula na nk mimi ntashughulika...
Atalala kwangu...
Atakula kwangu....
Na hapo unaweza niita shemeji yako
Mkuu sinywagi pombe labda konyagiSawa Mkuu kuna ile pombe inaitwa Kimpumu unakunywa Ahsubui unalewa jioni ndo umetumia maana Ahsubui ulikuwa sawa
šššAhaaa!Achana kabisa na keupe.. Old is diamondView attachment 3398313
Wachaga ukitutoa kwenye vyakula vya asili yetu ni weupe kinouma sema vyakula vyetu vitamu sana , ukishushia na bohora moja la mbege mambo yanakua poašPilau la maharagwe? Haha
Nilishawah enda ukweni wamepika pilau, wanataka waweke maharage juu, na mchuzi wa bamia.
Kuna watu wanajua kuharib ladha ya pilau kwel
Unakuwa hauamini amini ulichokulaAhaha nilishawah kula nyama ngumu kwenye harusi ya kiislamu, mpaka nikawaza wamechinja ngamia au?