min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 51,023
- 142,525
Uwe na tumavi mavi flani hivi😋😋 ukishushia na nyagi kubwa tatu kama ndio unaanza bwashee.Raha na ladha ya utumbo lazima unuke kidogo kale kaharufu😋😂
Uwe na tumavi mavi flani hivi😋😋 ukishushia na nyagi kubwa tatu kama ndio unaanza bwashee.Raha na ladha ya utumbo lazima unuke kidogo kale kaharufu😋😂
Umenikumbusha mshua fulan wakat amehamia Dodoma akitaka kuku anahitaji broiler watu wakaamza kumzodoa ndo taratibu akajua Dodoma kuku wanaoliwa ni natural.... Dar mnapenda sn vitu vilaini kama vilainishi!!Sijawah kula huyu kuku atakuw na nyama ngumu hatari
Uzee mwisho msata kaka... tuendelee kujichanganya na hawa vijana wa sasa mpaka watuelewe.Basi tufanye kwenye kope! 😩😩😩 time and tide wait for no man😭View attachment 3398294
Sawa, kwa hiyo wewe unapenga kitu kigumu?😀Umenikumbusha mshua fulan wakat amehamia Dodoma akitaka kuku anahitaji broiler watu wakaamza kumzodoa ndo taratibu akajua Dodoma kuku wanaoliwa ni natural.... Dar mnapenda sn vitu vilaini kama vilainishi!!
Kuna siku nilitembelea parokia fulani ni kakuta wamechinja bata mzinga nikaalikwa na meza imezagaa makali tu , ile miamba ina kula na kunywa aisee 🙌Hahahaha wengine hawajawahi kula kuku
Aisee kwa jibu hili Naomba nikuulize swali chokonoziMpaka visivyoliwa😋😂😂😂😂
Ahaha nilishawah kula nyama ngumu kwenye harusi ya kiislamu, mpaka nikawaza wamechinja ngamia au?Mm nashangaa🤔 kwenye masherehe 🍗
Unakuta kuku mgumu alf ukigeuka watu wanatafuna kwelikweli ukigeuka watu wanakuangalia unahangaika kutafuna kuku
Kuku natural, tastefully kama wa Bubu Kuku!!!Sawa, kwa hiyo wewe unapenga kitu kigumu?😀
Waislamu wanapika pilau matata sanaAhaha nilishawah kula nyama ngumu kwenye harusi ya kiislamu, mpaka nikawaza wamechinja ngamia au?
Hivi unajua utamu wa machoIko kichwa umekipika kizimakizima hujatoa ata macho🤔
Naunga mkono hoja,Waislamu wanapika pilau matata sana
Dar mnapenda sn vitu vilaini kama vilainishi!!😂😂😂 ndio maana wakioga lazima wapake mafuta macarionUmenikumbusha mshua fulan wakat amehamia Dodoma akitaka kuku anahitaji broiler watu wakaamza kumzodoa ndo taratibu akajua Dodoma kuku wanaoliwa ni natural.... Dar mnapenda sn vitu vilaini kama vilainishi!!
Good thing nafuga kuku na Bata nyumbani kwanguKuku natural, tastefully kama wa Bubu Kuku!!!
Na raha ya pilau ulile kwenye sinia ukae kitako na ule na mkono😋Naunga mkono hoja,
Ndo sababu ile kitu inaitwaga chakula ya mtume, uikute na rojo ya kuku sasa....