Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
Hawajachelewa kweli?
Kuna habari kuwa kuna wabunge wanajiandaa kuihama CCM kwa mkupuo wa pamoja au mmoja mmoja ,kitu ambacho kipo kwenye mashauriano.
Habari zimezidi kutonya kuwa wabunge hao ambao wameamua kulinda maslahi na malengo yaliowapeleka hapo Bungeni badala ya kukaa na kuwalinda watu wasio kuwa na uchungu wa Inchi hii ,wana imani kubwa kuwa WaTanzania walio wengi watawaunga mkono katika kitendo hicho ambacho wamekiita ni cha Kishujaa na utii kwa wananchi na pia wana imani kuwa wananchi waliowachagua kuwapeleka Bungeni watawachagua tena hata wakiwa ni wagombeaq binafsi kwa vile msimamo wao ni kulinda maslahi ya wananchi na kutowaonea haya wezi wa fedha ya Nchi hii na mali zake.
Wabunge hao wamezidi kuipa msonyo CCM kuwa ni Chama kinachoendeshwa kidikiteta na zaidi wengine kujiona wao ni wa Mjini na wanaweza kufanya lolote bila ya huruma kwa wananchi,na kuwafanya wabunge wawe na hali ngumu kurudi kuomba kura tena pale ufikapo msimu wa harakati za kujinadi ili wachaguliwe tena.
Wakizidi kutoa mchapo kuwa CCM kumejaa vigogo ambao wanatumia fedha nyingi kwa kulinda maslahi binafsi na kusahau kama wao wapo hapo kwa ajili ya maslahi ya Taifa na wananchi wake ,ndio ukaona jinsi wanavyoiba fedha ya umma bila ya huruma ..mmoja wao aliongezea.
Wabunge hao ambao wengi wao huwa wanaonekana wakimya ndani ya bunge wamezidi kutonya kuwa safari hii CCM magome watafahamu kuwa mizizi ndio muhimu kwa mti.
Nani kakuambia haya Mkuu? ama ndiyo hadithi za arinacha? pale ccm hawabanduki, labda kuna kamuuhujiza katendeke
Bado hawajachelewa,ila wasisubiri hukumu ya waTz itakapo anza kumla mmoja baada ya mwingine.
Vipi mafisadi nao wakihamia huko wanakohamia hawa wabunge?
Kuna habari kuwa kuna wabunge wanajiandaa kuihama CCM kwa mkupuo wa pamoja au mmoja mmoja ,kitu ambacho kipo kwenye mashauriano.
Habari zimezidi kutonya kuwa wabunge hao ambao wameamua kulinda maslahi na malengo yaliowapeleka hapo Bungeni badala ya kukaa na kuwalinda watu wasio kuwa na uchungu wa Inchi hii ,wana imani kubwa kuwa WaTanzania walio wengi watawaunga mkono katika kitendo hicho ambacho wamekiita ni cha Kishujaa na utii kwa wananchi na pia wana imani kuwa wananchi waliowachagua kuwapeleka Bungeni watawachagua tena hata wakiwa ni wagombeaq binafsi kwa vile msimamo wao ni kulinda maslahi ya wananchi na kutowaonea haya wezi wa fedha ya Nchi hii na mali zake.
Wabunge hao wamezidi kuipa msonyo CCM kuwa ni Chama kinachoendeshwa kidikiteta na zaidi wengine kujiona wao ni wa Mjini na wanaweza kufanya lolote bila ya huruma kwa wananchi,na kuwafanya wabunge wawe na hali ngumu kurudi kuomba kura tena pale ufikapo msimu wa harakati za kujinadi ili wachaguliwe tena.
Wakizidi kutoa mchapo kuwa CCM kumejaa vigogo ambao wanatumia fedha nyingi kwa kulinda maslahi binafsi na kusahau kama wao wapo hapo kwa ajili ya maslahi ya Taifa na wananchi wake ,ndio ukaona jinsi wanavyoiba fedha ya umma bila ya huruma ..mmoja wao aliongezea.
Wabunge hao ambao wengi wao huwa wanaonekana wakimya ndani ya bunge wamezidi kutonya kuwa safari hii CCM magome watafahamu kuwa mizizi ndio muhimu kwa mti.
Sitashangaa kama watafanya hivyo wakiongozwa na Anna Kilango.
Ukikaa karibu na ua ridi utanukia ua ridi, vivyo hivyo ukikaa karibu na uvundo huwezi kunukia marashi asilani.Watimke wakaungane na wazalendo wa kweli wana wa nchi hii