Wakunyuti
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 380
- 15
Kama TMK wanaume wameweza kutengana na kuwa makundi mawili..kwanini CCM wasiweze ...wajitenge waanzishe chao kiitwe CCM-Safi na wengine hao mafisadi wakiite ivyo ivyo sijui CCM - Halisi..tuone sasa kama wale walio safi halafu wanang'ang'ania kwenye CCM - Halisi( Ya Ufisadi) hawatakimbilia kujiunga na CCM- Safi baada ya Uchaguzi wa 2010. Mapinduzi yanawezekana bila mtutu jamani.....