Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,239
am loving the entertainment ! maana tunapoteza muda, !!
wewe unapoteza muda au sote tunapoteza muda, ama pia mpo mnaopoteza muda? hao wanaopoteza muda ni kina nani,unawajua?

ndoto zingine ni sawa na burudani...
kwa hiyo siyo CCM tuu hata Marekani siku moja itakoma kuwa tawala kuu ya dunia, kinachogomba hapa ni suala la muda.
wewe unapoteza muda au sote tunapoteza muda, ama pia mpo mnaopoteza muda? hao wanaopoteza muda ni kina nani,unawajua?
Inawezekana kweli wewe haumo kwenye kundi la wanaharakati wa kupigania uhuru halisi wa nchi hii tuliyopewa na mwenyezi mungu na wala siyo CCM!nyinyi hapo, mie simo !!
Mbona mwalimu Nyerere alipotumia mfano wa tajiri kuingia mbinguni kwenye kuzungumzia matajiri kutaifisha nguvu za watawala hukushangaa?Mhh.. huo msemo wa YESU KRISTU ulikuwa unafundisha kuhusu UBATIZO sasa kwa CCM sijui unaimanisha nini!!!!!!!!!!!!!!!
Tayari wameandaa watoto wao wa kuzaa kukamata nafasi hizi!
Inawezekana kweli wewe haumo kwenye kundi la wanaharakati wa kupigania uhuru halisi wa nchi hii tuliyopewa na mwenyezi mungu na wala siyo CCM!
Tatizo ni kama watoto wanaweza na watafuata sheria za jamhuri na katiba za hivyo vyama, maana sioni tatizo lolote la mwenyekiti wa Chadema kukamta nafasi ya zamani ya mkwe wake,
Wananchi hatuwezi kuanza kuombea vyma vyetu vya siasa vife, that is a big mistake, kwa sababu vikifa atakayelipa the price sio viongozi, itakuwa ni sisi wananchi wenyewe, tunaoombea vife,
Tunatakiwa kuombea mabadiliko na kuondolewa kwa viongozi wabovu pande zote mbili CCM, mpaka Upinzani!

Kwa MALEZI tuliopewa na CCM hakuna asiye MBOVU.
Yote unayoyafanya huwa anakushauri nani uyafanye?ok.................ok.......! sasa nifanye nini ?
Kama viongozi wabovu huzaa taifa zima bovu then hakuna help!
HOLOkwani CCM ndo fisadi?CCM haitakufa maana kuna wasafi pia!
HOLO
nakuunga mkono kwa mawazo yako mazuri CCM siyo mafisadi mafisadi ni baadhi ya wanachama wake wasio waanimifu lakini CCM ni chama saafi sana na kina viongozi wazuri sera nzuri ndio maana wananchi wanakiamini na kukipa mdaraka .
Hakuna chama kama CCM bwana anapokosea kiongozi aliingia madakani kwa tiketi ya CCM ni yeye ndiyo aliyekosea,hivi mwanao akiiba anahukumiwa baba au mama kwa sababu tu amemzaa huyo mtoto hiyo si kweli
CCM ni chama dume na kitaendelea kutawala kwa miaka mingi tu hasa ukizingatia mpaka leo hii hakuna chama chenye misingi imara kama CCM vyama vingine vyote vimebaki vya wababaishaji tu