CCM ni Taasisi kubwa haiishiwi watu

CCM ni Taasisi kubwa haiishiwi watu

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
591
Reaction score
546
Screenshot_20260728_081620_Instagram.jpg

CCM ni chama imara na siku zote huwa kinapima viongozi kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya kesho, sio kwa ajili ya kelele za leo.

Kila mkutano wa Halmashauri kuu unapokaribia huwa kuna sauti nyingi zinaibuka. Kadiri mikutano mikubwa ya chama inavyokaribia, ndivyo uvumi huzidi na kuongezeka na kugeuka kuwa bidhaa. Majina huzunguka, Vijiweni redio mbao huuza kuliko wakati mwingine wowote, hapa hufikia hatua ya mpaka baadhi ya makada kujipa nafasi ambazo bado hazijawahi kuwepo.

Hiyo si hali mpya. Ndivyo siasa zilivyokuwa jana, zilivyo leo, na huenda zikaendelea kuwa hivyo kesho.

Lakini kuna kosa ambalo akili zenye papara hulifanya mara kwa mara kwa kudhani kwamba historia ya taasisi inaweza kutabiriwa kwa kuhesabu majina ya watu, hii si kweli.

CCM haikujengwa juu ya jina la mtu mmoja. Ilijengwa juu ya falsafa kwamba taasisi ni kubwa kuliko viongozi wake, na kwamba viongozi hupita lakini taasisi huendelea kuishi. Alikuwepo Nyerere, Mwinyi, Jumbe na sasa Samia.

Ndiyo maana kila kipindi cha uteuzi kinapofika, baadhi ya watu huamini kwamba majina machache yanayozunguka ndiyo yanayobeba mustakabali wa chama. Mara utasikia Nape Nauye, Ali Hapi, Saidi Mtanda, Heri James, Antoni Mtaka au wengine wengi wakitajwa kana kwamba uchaguzi wa chama umefungwa ndani ya orodha hiyo.

Hapana.

Hilo linaonyesha zaidi mipaka ya mawazo ya wanaotazama siasa kuliko uwezo wa CCM wa kuzalisha viongozi nchini.

Kwa miongo mingi, CCM imejenga hazina kubwa ya rasilimali watu. Kuna viongozi waliopitia Serikali za Mitaa, Wilaya, Mikoa, Jumuiya za Chama, Bunge, Serikali, taasisi za umma, sekta binafsi, vyuo vikuu, jeshi la wasomi, wataalamu wa uchumi, sheria, diplomasia, sayansi na teknolojia.

Kuna hii kanuni Watu wengi ndani ya CCM hamuijui, mtu anayejulikana zaidi si lazima awe anayehitajika zaidi.

Historia ya chama imejaa mifano ya viongozi ambao hawakuwa sehemu ya mjadala wa kila siku, lakini wakapewa dhamana wakaonyesha uwezo mkubwa. Wakati mwingine, viongozi mnaowataja kila siku huishia kutoteuliwa, si kwa sababu hawana uwezo, bali kwa sababu taasisi imeona mahitaji tofauti ya wakati.

Niffer anaweza kuwa kiongozi mzuri wa CCM na watu wote mkashanga imekuwaje sababu chama kinajua kwenda na mahitaji ya wakati.

Huo ndiyo utofauti kati ya CCM na vyama vingine ambavyo ni mikusanyiko ya watu tu.

CCM huwa haiulizi: “Ni nani anayepigiwa kelele?”

CCM huuliza: “Ni nani anayefaa kubeba jukumu hili kwa wakati huu?”

Ndiyo maana haipaswi kushangaza kama siku moja CCM ikamchagua mhandisi aliyebobea katika usimamizi wa miradi, mwanadiplomasia aliyelitumikia taifa kwa utulivu, mchumi mwenye maono ya maendeleo, au hata profesa kutoka chuo kikuu kushika nafasi nyeti ndani ya chama.

Kwa taasisi kubwa, uwezo ni mtaji. Umaarufu ni nyongeza tu.

Ndiyo sababu pia hakuna aliyekuwa na uhakika kwamba Dkt. Asha-Rose Migiro angekuwa Katibu Mkuu wa CCM. Lakini taasisi iliona kile ambacho wengi hawakuwa wamekiona. Hivyo ndivyo CCM inafanya inaona mbali zaidi ya upeo wa uvumi wa kijiweni na mgundini.

Ndani ya chama chenye zaidi ya wanachama milioni 13 wanaolipa ada, kudhani kwamba viongozi wanaoweza kushika nafasi za juu ni wale wanaotajwa kwenye makundi ya WhatsApp au mitandao ya kijamii pekee ni kuipunguzia thamani historia na uwezo wa CCM.

Mti mkubwa hauishi kwa tawi moja.

Ukikatika tawi, mti huendelea kuota mengine.

Vivyo hivyo CCM. Nguvu yake haiko katika mtu mmoja, bali katika uwezo wake wa kuendelea kuzalisha watu wenye uwezo.

Kwa hiyo, wale mnaozungusha majina yenu huku na kule mkitafuta kujenga ushawishi wa kisiasa mnapaswa kujiuliza swali moja la msingi:

Je, ninatafuta kuitumikia CCM, au ninataka CCM initumikie mimi?

Kwa sababu uongozi wa kweli hauanzi kwa kutajwa sana; huanza kwa kuaminiwa sana.

Na kuaminiwa hakujengwi kwa kampeni za chini kwa chini, bali kwa rekodi ya utendaji, uadilifu, nidhamu, busara na uwezo wa kubeba dhamana bila kuyumba.

Nguvu ya CCM haijawahi kuwa katika ukubwa wa majina, bali katika ukubwa wa taasisi yake.

Majina hubadilika.

Nyadhifa hubadilika.

Vizazi hubadilika.

Lakini taasisi inayojua kujizalisha upya haiishiwi viongozi.

Ndiyo maana CCM imeendelea kuwa taasisi inayozalisha viongozi, badala ya kusubiri kuokolewa na viongozi.

Na hapo ndipo siri ya uimara wake ilipo.

Aluta Continua, CCM mbele kwa Mbele.
 
View attachment 3638313

Miaka 60+ ya uhuru watanzania bado wanachota maji ya visimani wakigombea maji Na chui
 
Jitu lingine linalopenda rushwa, uongo uongo, wizi nalo linapost. Hila hii mijitu ina roho ngumu sana.
 
Another trash in the building

Weka humu 🗑
 
Uyasemayo yana ukweli?Ingekuwa na watu isinge filisika kimawazo na kimtazamo kwa kiwango ilipofikia hivi sasa,ama utajiri wao na watu ndiyo wewe?
 
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Back
Top Bottom