Kuajiriwa ni utumwa

Umeajiriwa wapi na kwenye kazi gani? Na unataka ujiajiri kwenye fani gani au biashara ipi?
Swali kuntu hili...

Nishawahi kua na boss anakunja 20M per month nje ya malupuluou huyu ukimwambia habari za kujiajiri anakuchapa makofi.

Na sijui watu kujiajiri wanakuchukuliaje, yaani wanadhani unakua kama Vunjabei, ila binafsi naona kama unataka muda wa kupumzika upo kwenye kuajiriwa zaidi kuliko kujiajili.
 
Inategemea umeajiliwa wapi,
Kituo cha mafuta, kampuni ya mhindu, mchina, unalipwa chini ya milioni, au UPO UN, umoja wa ulaya, mgodini,
Au, kampuni ya, kimataifa, unalipwa, kuanzia, 3M take home!
Tumefsnya,ajira mpaka tumestaafu,
Tuko kwenye kampuni na tunamriki ma kampuni nje, na, tumeajiri!
Inategemea UPO wapi!
Hawa, mawaziri wengi wana ma kampuni nje, unafikiri kwa nini hawaachi u waziri wakawe ma CEO kwenye ma kampuni Yao,
Sio, kwa sababu watakufa njaa, w anataka wapige maximum benefit, kwenye siasa, unavuna, na, mtaani unavuna,
Wewe wa, kwenye kampuni ya mhindi, ndio mtumwa
 
Kabisa , ila wengi labda ni hizi ajira ambazo wanaishia kwenye 700k bwashee
 
Nahurumia sana manager wangu, anatumia nguvu kubwa juhudi na maarifa yake kwenye kazi za watu. Ila naamini angejiajiri yule angefik mbali sana
Kuna watu tumeumbwa ivoo yaani mc Gregory kwenye theory x na theory y alielezea aina za watu kwenye kufanya KAZI


Binafsi Hilo jambo la kujituma kwenye KAZI za watu huanzia kwenye malezi udogoni kabisa Mimi ninazo hizo traits

Ila currently baada ya kufanya KAZI ya kusindikiza watu kuwa matajiri nimebadilika kabisa hapa Nina deals Kuna muda naweza NIKAZIPAISHA JUU JUU bila kushirikiana na MTU.

Nb. Mwisho wa siku ofisin/ kazini ulipo ajiriwa hakunaga urithi
 
Muajiriwa ukitaka Kujiajiri ni mkakati,weka mpango wako vizuri.kisha chomoka ukiwa umeweka msingi

Waajiriwa waliojiajiri wapo wengi inategemea na aina ya kazi, nyingine hazibani malipo sio haba unaweza piga kote kote,ukavuna kote ila nyingine kama za wahindi huko unalipwa laki 3 na unabanwa siku nzima ni taabu tupu

Pambana
 
Mnafanyaga kazi gani hizo?
Mimi nimefanya almost fani nne, ofisini, nimeenda site, nimefanya mauzo, serekalini na sekta binafsi ila kwa niliyoyashuhudia naona it is not worth it.. Sioni niki sustain kuajiriwa.
 
Ni hatari sana.... Ila miaka 60 unaichukuliaje... Hapo ndani ya muda mcheche tu unaokota fimbo.
 
Kuajiriwa ni sawa na kupata fedha za bure mjuba, kule huhangaiki kuumiza kichwa, ni kazi nyepesi, rahisi, hutokwi jasho jingi, una uhakika ndani ya wiki nne tu hela inaingia kiulaini
Wanasema eti ni madawa ya kulyeva wanao kupa ili usahau ndoto zako. Ila bado kuna walio na Ajira wanakula maisha, pay kubwa na wanapewa facilitationa, imagine wakuu wa mikoa, wabunge na mawaziri. Hao. Wanafreedom ndani ya Ajira zao. Ni sisi wamatumbi hohehahe tu tunaufeed mfumo kwa ajili ya wengine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…