sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Toka lini majununi akafahamika kwa mungu?..Khaaaaaa! Mungu atanilipia
Toka lini majununi akafahamika kwa mungu?..Khaaaaaa! Mungu atanilipia
Hi bro!kwa hiyo hapa kuna
tarumbeta
majununi
Kusutwa
Kusutana
dera
majivu
kuveshana
transparent.....
Orait....baada ya kuona hayo, ngoja nimtafute sweetie alipo 'tusutane' kiutu uzima.....hii haina matarumbeta.
hehhee Ukiona kesho hauikumbuki paswedi yako ya JF ujue post yako hii imemkera Mungu kwa kumbeza mtakatifu kloroToka lini majununi akafahamika kwa mungu?..
kwa hiyo hapa kuna
tarumbeta
majununi
Kusutwa
Kusutana
dera
majivu
kuveshana
transparent.....
Orait....baada ya kuona hayo, ngoja nimtafute sweetie alipo 'tusutane' kiutu uzima.....hii haina matarumbeta.
Lol... Subiri Zinduna atoke msikitini ndio utajua kama wewe ni mtakatifu au muharibu vi'date vya watu..hehhee Ukiona kesho hauikumbuki paswedi yako ya JF ujue post yako hii imemkera Mungu kwa kumbeza mtakatifu kloro
Zinduna ni mikwala tu ile lakini tayari tumemalizana PM, infakti anawachora tu.Lol... Subiri Zinduna atoke msikitini ndio utajua kama wewe ni mtakatifu au muharibu vi'date vya watu..
Kidumbaki??? Msamiati mpya kwangu, ndio nini hicho lawyer?heheeh halaf kamanda wewe uskuje maana haukawii kutia guu wewe na fellow tablet. Leo nitakuwa na zinduna, sweetlady na bht watanisuta mpaka nisutike.
Nakumbushia pia wakuje na kidumbaki, kukatika katika kwenye kusuta pia ni muhimu
Hebu leta beth setifiketi yako nisibitishe kama kweli wewe wa bongo.Kidumbaki??? Msamiati mpya kwangu, ndio nini hicho lawyer?
heheeh halaf kamanda wewe uskuje maana haukawii kutia guu wewe na fellow tablet. Leo nitakuwa na zinduna, sweetlady na bht watanisuta mpaka nisutike.
Nakumbushia pia wakuje na kidumbaki, kukatika katika kwenye kusuta pia ni muhimu
Hakyanani vile lawyer mie wa migombani LIVE.Hebu leta beth setifiketi yako nisibitishe kama kweli wewe wa bongo.
Dah! acha nikuwe mnyonge tu kusutwa kusije kukawa cancelledsasa wewe naona umejipa diskresheni ya kujichagulia hata staili za kusutwa....
wacha nikukumbushe sheria za kusutwa hazikupi hiyo feva, maamuzi ya vipi, wapi na namna gani tukusute yapo mikononi mwetu.
tulia unyolewe wewe....
Mupe, mupe, swahiba nakuaminia!...sasa wewe naona umejipa diskresheni ya kujichagulia hata staili za kusutwa....
wacha nikukumbushe sheria za kusutwa hazikupi hiyo feva, maamuzi ya vipi, wapi na namna gani tukusute yapo mikononi mwetu.
tulia unyolewe wewe....
Dah! Sorry nimekukonfyuzi na husninyo, husninyo kumbe ndo amezaliwa msumbijiHakyanani vile lawyer mie wa migombani LIVE.
Usimtaje mzazi bana, atapaliwa na mtori ujue.Dah! Sorry nimekukonfyuzi na husninyo, husninyo kumbe ndo amezaliwa msumbiji
Mupe, mupe, swahiba nakuaminia!...
Ndio nini kwenda lunch kimya kimya? Au unataka kusutwa na wewe?
Dah! acha nikuwe mnyonge tu kusutwa kusije kukawa cancelled
Ok am on my way!sijaenda nilienda kulw kloro alipokuwa anachiti....muulize!! fanya ukuye pande hii twende late lunch!!
Ok am on my way!
Nitupie kivazi gani ili angalau tupate mtu wa kutulipia vinywaji?
Lol...hapo tuko pamoja bht, kujikwatua sio fani yangu so kwa hilo usiwe na wasi. Mie mapowder, wanja na lipshine only sitaki shida mwayego!..kitu cha jinzi mbano na kishati na viatu flati(sio sandoz) na usjikwatue...haya fanaya uje