bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,884
Nimezaliwa peke yangu mkuu, uslete udugu wa kuibiana, halaf ole wako umPM sweetlady, niko na paswedi yake. usjaribu
lol...kumbe wee mwoga hivyo???
Nimezaliwa peke yangu mkuu, uslete udugu wa kuibiana, halaf ole wako umPM sweetlady, niko na paswedi yake. usjaribu
hebu wafundishe hawa wa mikoani aisee! yaani mimi waifu kama hajui kidumbaki ni talaka tu.Wallahi sikujua kama wakijua kidumbaki........... umenikumbusha mbali weye!!!!
umeona spidi za hiyo njemba? think! bht think!lol...kumbe wee mwoga hivyo???
Darling ndio nini sasa? Yaani mie kutoka kidogo tu ushaamia kwa Zinduna?hebu wafundishe hawa wa mikoani aisee! yaani mimi waifu kama hajui kidumbaki ni talaka tu.
Lol...hahahaaa acha wizi basi mchana aisee....
hebu wafundishe hawa wa mikoani aisee! yaani mimi waifu kama hajui kidumbaki ni talaka tu.
Lol...
siamini hata wewe ndugu wa damu unataka kunitilia kitumbua mchanga...kha, kuna mtu kaiba p'word asee!
Darling ndio nini sasa? Yaani mie kutoka kidogo tu ushaamia kwa Zinduna?
Utaniua kwa presha switie...hicho kidumbaki si umesema utanifundisha? Yaezekana wa mikoani tunakijua kwa jina jingine bana!
Afu love huyo biskuti ya chuma asikutishe wala nini mie wala hanirushi roho so just relax my lolypop!
heheeh endeleeni kumsoma zinduna kwa makini kwanza, maana dah! nimepoteza hata nguvu za kutype kwanza. hizi vitu nilikuwa nakula kwa macho balaaa enzi za mwalimhahahaaa unajifanya mjanja eeeh
haya fasta niambie maana yake la si hivyo sweetlady huoni hata nyayo zake....
Watakijulia wapi Kidumbaki hawa!? kuna moja hiyo, inaitwa Mchuchumio, waijua weye, au ile ya kusutana maarufu kama KILUGWAI
huwa inatibu malaria hiyo dawa......
Lolz...kindumbaki, mchuchumio, kilugwai n akipi tena?
Lolz...
bht hapa hapatufai tena mwayego, watu washaanza kunena kwa lugha...
Mchuchumio sie twajua ni viatu kumbe kwa kizaramo ni kitu ingine kabisa..
Usihangaike kusafisha nyota wala nini mie ngastuka mae kloro hanipati tena walah, aende tu na Zinduna wakacheze mchuchumio!
Mke mwenza ndio nini lakini? Hiyo nyumba ndogo uloipata inakubana sana eeh?Ilishasababisha usugu kaka, haikubaliki. Na ilikua chungu sana,bila juithi ya sweetie wako haishuki!
Niko hapa getini nakusubiri...khaaa. We uliona wapi mchaga akacheza mdumange?...hahahaaaaa twenzetu mwaya!!!!
Khaaaaa! punguza hasila honey jamani, mmmh! yaani ujanja wote umeisha imebidi nibembeleze tu.Lolz...
bht hapa hapatufai tena mwayego, watu washaanza kunena kwa lugha...
Mchuchumio sie twajua ni viatu kumbe kwa kizaramo ni kitu ingine kabisa..
Usihangaike kusafisha nyota wala nini mie ngastuka mae kloro hanipati tena walah, aende tu na Zinduna wakacheze mchuchumio!
Hahaha!Khaaaaa! punguza hasila honey jamani, mmmh! yaani ujanja wote umeisha imebidi nibembeleze tu.
mimi bila wewe ni sawa na email bila pasiwedi, usinitolee maneno makali nitasusa kuoga mwenzio
Acha niende PM nikajinyonge tu.Hahaha!
Kwaheri mpenzi, nilikupenda sana ila nahisi Zinduna kakupenda zaidi, baki nae tu baby.
Yaani nakuacha huku roho inaniuma manake daaah nilikupenda kupita maelezo... Machozi yanantiririka bana mwambie bht aje anifute!
Baba wa Taifa mwambie David Cameroon ametubp watz hivyo muulize kama tumpigie au la!Acha niende PM nikajinyonge tu.
Unazani nitaishi vipi bila wewe?
mna salam zozote kwa gadaffi na baba wa taifa?