Kivazi gani nitupie, msaada tafadhali dada zangu

Kivazi gani nitupie, msaada tafadhali dada zangu

Mmmh mkuwe na huruma wajameni, wanaume tumeumbwa wazaifu. Nibembeleze bas kidogo mzuka ushuke
Ooh! Darling pole kwa kudondoka juu ya stuli, vipi umeumia mpenzi?...wakati mwingine uwe makini switie, utaumia honey wangu!


Mengine takubembeleza kwenye PM!
 
Ooh! Darling pole kwa kudondoka juu ya stuli, vipi umeumia mpenzi?...wakati mwingine uwe makini switie, utaumia honey wangu!


Mengine takubembeleza kwenye PM!

Dah! hakyamjomba niliposoma hii post nimesahau hata babaangu anaitwa nani. Nimepona honey lakini nikiona kimya kikubwa nitaanguka tena ili unibembeleze tena.

khaaa! nimetamani wajameni
 
Nimepata mwaliko wa mtoko weekend hii kutoka kwa kijana aliyekuwa akinitupia nyavu siku nyingi kidogo. Ni takriban miezi nane sasa tangu nitemane na my BF, baada ya kunitenda. Sasa nimeona nitoke na huyu mtupa nyavu ili nijue sera zake kabla sijafanya uamuzi.

Sasa shida ipo kwenye kivazi cha kutokea. Jamani si mnajua tena dada zangu, mtoko wa kwanza unaleta tashwishwi. Hapa nimewaza na kuwazua sijapata jibu. Naombeni msaada wa haraka ili nijue kama itabidi nikimbie Kariakoo fasta fasta maana weekend ndiyo hiyoo inajongea.

Tupia SWIMMING COST
 
Ooh! Darling pole kwa kudondoka juu ya stuli, vipi umeumia mpenzi?...wakati mwingine uwe makini switie, utaumia honey wangu!


Mengine takubembeleza kwenye PM!

Mmmh..!Sweetlady inailekea MTUNDU weweee....!
 
Dah! hakyamjomba niliposoma hii post nimesahau hata babaangu anaitwa nani. Nimepona honey lakini nikiona kimya kikubwa nitaanguka tena ili unibembeleze tena.

khaaa! nimetamani wajameni
Worry out baby, am here for you my love.... Stay safe my only one klorokwini!...
 
Tobaa! lawyer nimeanguka kwenye stuli

unaangushwa na maandishi ?
sasa ungekion akitu ch amgombani kilivopendeza si ungebloo mapigo wewe
sweetlady kaja katokea hadi midume ilikuwa inapaliwa tu, kijiko badala ipeleke mdomoni kinaishia puani....
 
Worry out baby, am here for you my love.... Stay safe my only one klorokwini!...

Hahaha!


Hamna bana, honey alianguka ujue....kama 'unampenda utamlinda', hapo nilikuwa namlinda lahaziz kloro!

senks sweetheart, halaf kuwa makini na hii njemba hapa chini maana ndo wanavyoanzaga anzaga, ooh sjui hani wako ana bahati sjui babaake kikwete alikuwa mwarabu kumbe wanatafta gia ya kupindua.
Lawyer nimeshtukia

Dah!Kweli hani wako ana raha sana,maana duuu...!!
 
unaangushwa na maandishi ?
sasa ungekion akitu ch amgombani kilivopendeza si ungebloo mapigo wewe
sweetlady kaja katokea hadi midume ilikuwa inapaliwa tu, kijiko badala ipeleke mdomoni kinaishia puani....
Unazidi kuntamanisha bht
 
senks sweetheart, halaf kuwa makini na hii njemba hapa chini maana ndo wanavyoanzaga anzaga, ooh sjui hani wako ana bahati sjui babaake kikwete alikuwa mwarabu kumbe wanatafta gia ya kupindua.
Lawyer nimeshtukia
Acha uoga MKUU,jiamini.Hata WAHENGA walisema kizuri kula na nduguyo...!
 
heheeh halaf kamanda wewe uskuje maana haukawii kutia guu wewe na fellow tablet. Leo nitakuwa na zinduna, sweetlady na bht watanisuta mpaka nisutike.
Nakumbushia pia wakuje na kidumbaki, kukatika katika kwenye kusuta pia ni muhimu

Wallahi sikujua kama wakijua kidumbaki........... umenikumbusha mbali weye!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom