Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,508
- 19,330
Kwa wale wenzangu tuliosoma sheria udsm, tunajua kuwa ni kabudi na majamba tu ndio walipata first class. hii naunganisha na law school ambako wanaweza kufanya mtihani watu 200 wakafaulu 50, one fifty wanafelishwa. hivi hii ina maana waalimu wa sheria chuo na law school hawana uwezo kufundisha? kuna uwezekano mkubwa hawajui kufundisha ndio maana wanafunzi hawawaelewi hadi kupelekea kufeli.
Kwa wale waliosoma nje ya nchi hasa ulaya, watakubaliana na mimi kuwa kule wenzetu elimu imerahisishwa kwasababu hawapo pale kwaajili ya kufelisha wanafunzi wapo kwa ajili ya kumsaidia mwanafunzi kuelewa. hapa bongo waalimu wanafanya juu chini wanafunzi wafeli ati ndio kuchuja wapate cream nzuri, ifike kipindi mwalimu akifelisha sana basi aachishwe kazi manake hana uwezo kufundisha wanafunzi wakaelewa. nawaonea huruma madogo, hadi yule mmoja nasikia kafungua kesi kupinga kufelishwa law school ambako ni kweli pale wanasoma tu diploma na sio degree.