Udsm pana ujinga mwingi sana.. nakumbuka pale udbs tulikuwa na mwalimu mmoja alitoa assignment kwenye kozi yake.. swali lilikuwa la ajabu haujui uanzie wapi uishie wapi?
Tulihangaika lile swali darasa zima hakuna hata mwenye idea, mm nikapata idea ya kuligoogle lile swali, nikakuta mahali lilishasolviwa na majibu yake lazima ulipie kwa credit card. Imagine mtu analeta swali ambalo kivyovyote hata yeye angechemka tu.
Ikabidi tufanye mchakato tuchangishane tununue ile solution.
Sasa maajabu yake pamoja na kuhamisha yale majibu, bado marks zikaja 3/10, 5/10... Yan group tulilopata marks nyingi zikawa 6/10.

Aliona aibu kutupa marks zote..sasa kwa mwendo huo 1st class itatoka wap?