Mm sina ushabiki wa chama chochote hapa Tz, lakini chadema msipobadili aina ya mapambano yenu kwenye kudai hiyo demokrasia mnayoitaka bc mtaendelea kulia-lia milele na hamtofanikiwa. Endelea kupambana kwa ajili ya tumbo la mwanasiasa ashibe na mkipata shida hakuna atakayewajua
Mimi sio mwanachama wa Chama chochote ila ni mpenda haki!Sikubaliani na yeyote anayekandamiza uhuru na haki za watu ambao wanatimiza majukumu yao kama walivyoruhusiwa na katiba!
Nilidhani ukurasa wa chuki na uonevu umefungwa SSH aliposema tuanze upya,ila naona madaraka hulevya!
 
Hawa ndio watu 5000 tulioambiwa wametoka mikoa 20 ya nchini? Tehetehe.
IMG_20210805_124747_448.jpg
 
Hebu wamfunge tuone kama kasi ya watanzania itazidi au itapungua.
Hii sio ile Chadema ya zamani sasa Chadema ni Chama kikubwa kuliko CCM.
 
Mm sina ushabiki wa chama chochote hapa Tz, lakini chadema msipobadili aina ya mapambano yenu kwenye kudai hiyo demokrasia mnayoitaka bc mtaendelea kulia-lia milele na hamtofanikiwa. Endelea kupambana kwa ajili ya tumbo la mwanasiasa ashibe na mkipata shida hakuna atakayewajua

Wanufaika wa kinachodaiwa mara nyingi ni watu kama wewe - the opportunists.

Hauko peke yako mkuu.
 
Ccm kitu hawajui ni kua hapa tz kuna vitu hawawezi pambana navyo wakashinda CHADEMA na WAKATI
 
Chadema huijui wewe! Wamesema wanaandamana na wasipoandamana lakini Polisi wameacha kazi zingine na kuandamana wao wakiongozwa na Muliro.
Huoni huo ni ushindi?
Mkuu hizi lugha za kujipa ushindi wa mezani tumezichoka.
Kwanza toka lini polisi wakawa na kazi moja?, Wao wapo tayari kila seconds inayopita kwa tukio lolote.

Haya tuchukue mfano wa dadako mange na ile issue yenu, mlipata ushindi wa mezani sawa, then baada ya ushindi?.
 
Unajivua sidiria yako ya mtumba. ! Mdude kaachiwa na SSH au na mahakama?
Unataka awe loyal baada ya kuteswa na asiseme tena?
Kajambe mbele huko...!
Nyie ndio watu ambao baba zenu waliungana na wakoloni tusipate uhuru mapema.
Ukiona mtu anatoa mitusi hadi anachanganyikiwa jua ameishiwa hoja
 
ndio bunduki inashikwa muda wote, huonagi wakilinda mabenki mda wote.
Sasa kwenye maandamano ya amani mibunduki nakujihami kote kama kuna vita nini shida?

Hao hao pakiwa na tukio la ujambazi ukiwapigia simu hawatofika hadi jambazi afanye yake aondoke. Lakini wakiwa wanawazuia wapinzani wasifanye siasa wapo chap utafikiri kikao cha wapinzani kinaamua kumuondoa rais madarakani.
 
Bunduki inashikwa muda wote kama upo vitani? Kwani mwalimu anakuwa na chaki muda wowote?
Bro, acha siasa. Umeishiwa hoja, ulitaka polisi waje na filimbi au.? Kuelewa umeelewa ila tuu unataka ubishani usio wa msingi
 
Mama D BWANA,ndo ivyo wao mabom na MARISASI ,sie tupo na mungu
Bado maccm hawataki kujifunza kama ya Farao vile Mungu amefanya mioyo yao iwe migumu ili awaadhibu zaidi,kawaondolea yule dicteta mzandiki lakini bado wamekaza shingo.kuna mabaya zaidi yanakuja.
 
Pamoja na vitisho vya IGP Sirro bado wafuasi wa Chadema wametoka barabarani na wamefika Kisutu na maoni yao kwa njia ya mabango kwa amani.

Hongera kwa sapoti mliyoonyesha kwa Mwenyekiti wenu Freeman Mbowe, lengo mlilokusudia la kupeleka ujumbe limetimia.
 
Back
Top Bottom