KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

Tulieni malaika wenu ashughulikiwe, sisi Magufuli wetu mnayemwita mwizi ameshaondoka.
Mbowe ni mpigania haki anayeitwa gaidi na wezi na wauaji. Huyo rais wa Zambia anayeapishwa, naye si alikuwa gerezani na kesi ya ugaidi. Leo Samia kama zuzu anakwenda kuhudhuria akiapishwa. Wakati naye ana "gaidi" wake kamtia gerezani. Mfyuuu!? Akili? Au matope?
 
Mbowe tangu awe mwanasiasa wa upinzani ameshawahi kupigania jambo gani na likafanikiwa?

Amewahi kupigania haki ipi na ikafanikiwa?

???
 
Wale wanaolaumu watu wale wanaotilia shaka mashtaka dhidi ya Mbowe, kwamba wao wanaamini serikali na jeshi la polisi ni watakatifu sana na hawajawahi kubambikia watu kesi, wakumbuke kuwa huyu huyu wanayehangaika naye walishampa kesi ya Aqulina na akashinda. Kama hali ndiyo hii, kwanini tusiwatilie mashaka tena?
 
Vichwa vibovu wanahoji kwanini inasemekana kabambikiwa, historia ya Jana ilishafutika vichwani mwao.
 
Wale wanaolaumu watu wale wanaotilia shaka mashtaka dhidi ya Mbowe, kwamba wao wanaamini serikali na jeshi la polisi ni watakatifu sana na hawajawahi kubambikia watu kesi, wakumbuke kuwa huyu huyu wanayehangaika naye walishampa kesi ya Aqulina na akashinda. Kama hali ndiyo hii, kwanini tusiwatilie mashaka tena?
Maskini mnahangaika Sana kumtetea gaidi

USSR
 
Hivi wingi wa nashahidi unasaidia nini kama ushahidi wenyewe ni uto fc na wa kuungaunga?
 
Kufanya uongo kuwa ukweli unahitaji msuli wa ajabu...justification ya laki sita kufadhili ugaidi - hii ni kali sana - inapatikana TZ pekee (exclusive).
 
Equality before the law ni moja ya misingi ya katiba ya JMT.

Kama Mbowe alifanya kosa la uhujumu uchumi na ugaidi basi sheria ifuate mkondo.

Kuingilia mahakama kutoa uamuzi wa huruma kisa wanasiasa na watu wasio wazalendo wanamuonea huruma Mbowe sio fair.

Nazungumza kama mpenda maendeleo na mzawa wa Tanzania haki ifanyike bila kumpendelea Chairmman, kesho ruling ya High Court iwe fair kabisa.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom