Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Hakika mkuu hakuna kama
Ngorika, bufalo, meridian,

Hiz ulikua ukipanda yan saa 6 kamili mchana
Uko mosh njiaanda kutoka dar
Meridian miaka ile saa 6 kamili mchana ipo mkuu rombo, zilikua hatari sana
 
We tunaendana umri.Miaka ya 1992 mpaka 95 wamasai wa Ruvu walikuwa wanaulizana "Kiswele napita?" Haya toa ng'ombe.

Maana Kiswele iliwahi gonga ng'ombe 10 halafu ikatambaa.

Those days bus zilikuwa na bull bars.Na kulikuwa hakuna camera.

Basi zilikuwa zinakimbia balaa.
Bus hili lilikuwalinapendwa na wafanyabishara wa Mbeya kwa Lengo la wawahi kufunga mizigo dar au wawahi kuendelea na biashara Zao Mbeya
 
Meridian miaka ile saa 6 kamili mchana ipo mkuu rombo, zilikua hatari sana
Aiseee hatar sana wakat ule
Yan saa 7 kamili mchana
Nakuwa nmewasili usser sokon

Now gar ya kwanza inafka saa 9
Alasir na kuna lami af hyo wakat
Barbara ya mkuu mpaka tarakea haikua
na lami
 
Bado mapema tu mkuu. Lakini mimi week iliyopita nilisafiri na Dar Lux tulifika Dar saa 6:48 usiku. Na gari tulizoongozana nazo ni Kidia One; Kandaar pamoja na Kisbo.
Siku hizi safari yako haitegemei spidi ya gari inategemea umepangiwa saa ngapi unatakiwa kufika Dar na Polisi.. Ukifikika kabla ya Muda wao Faini inakuhusu kwa hiyo ni bora kuchelewa
 
Hizo bei ni kwa flight ya Jan 17 2018 means ni long planned trip ambapo una/umelipna mwezi mmoja au zaid kabla ya hiyo siku ya safari. Lkn si hizi safari unazoweza kuamua ghafla na kwenda kutafuta bus ukate ticket.
L
Na ndio tofauti ya usafiri wa ndege na bus, ukikata leo kuondoka kesho nauli mpaka laki 5 inafika lakini ukikata wiki moja ama mbili kabla bei inapungua hata kama haitokuwa kama hiyo niliyokutumia ila itacheza kuanzia 150,000 mpaka 225,000
 
Aiseee hatar sana wakat ule
Yan saa 7 kamili mchana
Nakuwa nmewasili usser sokon

Now gar ya kwanza inafka saa 9
Alasir na kuna lami af hyo wakat
Barbara ya mkuu mpaka tarakea haikua
na lami
Ni kweli mkuu hadi unashangaa,
Ila kuna dereva mmoja wa Tilisho anakimbiza balaa.
Sasa hivi hairuhusiwi kufika njiapanda kabla ya saa 8, tulishakaa na Buffalo zaidi saa karibu njia panda kusubiri saa 8 ifike
 
Ni kweli mkuu hadi unashangaa,
Ila kuna dereva mmoja wa Tilisho anakimbiza balaa.
Sasa hivi hairuhusiwi kufika njiapanda kabla ya saa 8, tulishakaa na Buffalo zaidi saa karibu njia panda kusubiri saa 8 ifike
Mkuu wakat tilisho inakuja
Ndo ilikua na speed now
Haikimbii kabsa aisee

Inaptwa had na meridian
Ya zaman na hz mpya zote

Dar express ndo ilikua inachomoka
nayo Sasa Haina speed yan
Kwa ufupi safar ya dar tu rombo
Tarakea now magar hayana speed
Kabsa

Ila bufalo na ngorika aiseee
Zlikua hatar
 
Jamani nilishauriwa humuhumu JF ili nifike Dar kutoka Mwanza kwa siku moja nipande basi la Kisbo, wanaJF wakasisitiza hakuna basi linalokimbia kama Kisbo, nami kweli nikakata tiketi ya hilo basi.

Sasa ajabu leo tumetoka Nyegezi stand tumevuka tu Buhongwa Kisbo ikapitwa basi fulani linaitwa Master, sasa nimeanza kupata wasiwasi kama kweli nitafika leo manake uongo umeanza kudhihirika.
Kisbo AK47 ndo mfalme wa njia Dar-Mwanza
 
Mitaa gani mkuu, nipo songambele huku, kweli hapa kazi imepamba moto, mvua zinanyesha sana, urambo yote ni greenish, hali ya hewa tamu sana, ila asubuhi miji unaikuta na watoto tu, mpaka mida ya saa 7 ndio wanaanza onekana, kweli hapa kazi imepamba moto
Boma village. Ila sipo huko mzee nipo dar
 
Kuna mambo ya kishirikina wanafanya gari haitapigwa tochi wala kusumbuliwa njia nzima...
Hapana,ni laki moja na nusu tu mwanzo mwsho kila siku ili gar isilale njian sbu inapoteza muda mwngi na siku nzima,ndo maana huon zikisumbuliww mara kwa mara
 
Umemaliza mwaka gani Lyalamo primary?Mimi nimemaliza hapo 2005
Ni pm bibie...mana huo msambwata kwenye avatar ni amsha popo...kiufupi nimeuelewa....nichek inbox kama hutojali
 
Back
Top Bottom