mlagilamakawao
Senior Member
- Feb 22, 2017
- 189
- 120
Duûuhh kisbo nomaaa
Nakumbuka nasoma tosamaganga lyalamo p/s.tukipata nafasi kuja iringa mjini,njia panda ya tosa tunakaa kwanza tunashangaa mabasi.Basi kila mmoja anajipa jina la basi mojawapo.mara mimi tawaqal,sijui mimi kiswele mara upete,mwanahapa,scandnavia,matema beach.hiyo iringa anasumbua comfort.longtime sana.We tunaendana umri.Miaka ya 1992 mpaka 95 wamasai wa Ruvu walikuwa wanaulizana "Kiswele napita?" Haya toa ng'ombe.
Maana Kiswele iliwahi gonga ng'ombe 10 halafu ikatambaa.
Those days bus zilikuwa na bull bars.Na kulikuwa hakuna camera.
Basi zilikuwa zinakimbia balaa.
Hiyo hapo mkuu nauli ya ndege tena chini ya 150,000, mtake radhi kishu1Nani ka kuambia mwanza dar fast jet n 150000 unajidanganya mchana kweupe
Hahahaa pole sana mkuu mwezi uliopita nilipanda Premier kwenda Mbeya bahati mbaya nikapata siti ya 3 toka mwisho nilifika nimevimba mdomo kwa kurushwa siji ipanda tena....Mbeya to Mwanza panda Super Sami hutajuta kabisaWatu mko machooooo,,, Mm nimetoka na premier hapa nyegezi naelekea mbeya Duuuhh linapitwa tuuuuuuuu na vibas vya ajabu najutaaaaa




Umemaliza mwaka gani Lyalamo primary?Mimi nimemaliza hapo 2005Nakumbuka nasoma tosamaganga lyalamo p/s.tukipata nafasi kuja iringa mjini,njia panda ya tosa tunakaa kwanza tunashangaa mabasi.Basi kila mmoja anajipa jina la basi mojawapo.mara mimi tawaqal,sijui mimi kiswele mara upete,mwanahapa,scandnavia,matema beach.hiyo iringa anasumbua comfort.longtime sana.
www.princessbet.co.tzHiyo rahisi kupanga matokeo. Uliza kwa nini VPL haimo kwenye bet yoyote
Hizo bei ni kwa flight ya Jan 17 2018 means ni long planned trip ambapo una/umelipna mwezi mmoja au zaid kabla ya hiyo siku ya safari. Lkn si hizi safari unazoweza kuamua ghafla na kwenda kutafuta bus ukate ticket.
Mmelala wapi?Watu mko machooooo,,, Mm nimetoka na premier hapa nyegezi naelekea mbeya Duuuhh linapitwa tuuuuuuuu na vibas vya ajabu najutaaaaa
wakuu nimefika salama saa 23:54 ama kweli kisbo ni chiboko
Luxury nzuri ina pa kuchajia kila siti.... Beba USB tumkuu unatumia cm gan hujaishiwa chaji safar nzima
Ahahahahahah.......kweli tangazo limetangazwa kiasi cha kutoshaNa huu ndio mwisho wa tangazo letu.
Hongera sana hiyo chombo uliyosafiri nayo almaarufu inaitwa Kisbo Compassion.wakuu nimefika salama saa 23:54 ama kweli kisbo ni chiboko