Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 620
- 1,422
Nilitoka Dom saa 12:15 asubuhi na kibinyiko nilifika moro saa nne kamili, dar niliingia saa nane na dakika kama 12...... Kwa muda uhuu mnaweza tumia masaa matatu kufika moro na masaa mawili kufika dar.... Kimbinyiko na lenyewe linapasua si mchezo sijui wanakuwa washawapa police pesamkuu moro ni kabla ya saa 3, saiz inasoma kibaigwa unadhani moro itakuwa saa ngap?

