Kisbo ya Dar- Kahama mmetuchoka abiria wenu??

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Habari za hapa WanaJukwaa.

Leo niko safarini toka Dat kwenda Kahama. Nilinunua tiketi ktk gari ya Kisbo...


#1. Kwa mujibu wa ratiba ilikuwa tuondoke saa 12 kamili..... Hadi saa moja bado hatuoni muelekeo wa safari.


#2. Baadae wakatuambia gari ni bovu.... Saa 2 hivi wakatuletea gari linaitwa Fahari..

>>Hili gari ni bovu kweli kweli.

>>Tumefika Mbezi nalo likaharibika... Ndio tumetoka hapa muda huu.


Angalizo:

1. Kisbo mnatakiwa kutumia akili mnapofaulisha abiria... Mnapaswa kuzingatia Muda pamoja na Ubora wa gari mnalofaulisha.


2. Kama nitafika salama hii ni safari yangu ya mwisho kupanda hizi gari...

Nitahamasisha yeyote ninayemjua aachane na hizi gari.


Sijui nitafika lini Kahama.



WanaJF wa Kahama naomba mnipokee


Mzee!
 
Safii,kuna rafiki hapa nimetoka kuongea nae katoka Jerusalem kuhiji,kufika Tel Aviv akirudi nyumbani ndeege aliyopangiwa imrudishe ni km ilee iliyoua IKIELEKEA hapo KENYA ikaahirishwa ije nyingine..
kamshkuru mungu kurudi salama,ww apo ungewasha matarumbeta hata mpk kwa mungu.
 
Back
Top Bottom