Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,513
Reaction score
8,276
Jamani nilishauriwa humuhumu JF ili nifike Dar kutoka Mwanza kwa siku moja nipande basi la Kisbo, wanaJF wakasisitiza hakuna basi linalokimbia kama Kisbo, nami kweli nikakata tiketi ya hilo basi.

Sasa ajabu leo tumetoka Nyegezi stand tumevuka tu Buhongwa Kisbo ikapitwa basi fulani linaitwa Master, sasa nimeanza kupata wasiwasi kama kweli nitafika leo manake uongo umeanza kudhihirika.
 
Kwahyo ukaona uje na uzi humu. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unachekesha but keep calm kisbo ni gar hatar sana kwa afya yako, subiri mda si mrefu Utatamani wakushushe lakin haitawezekana yani wanakimbia hadi kero na huyo aliyetangulia muhesabia mda tu hutamuona mbele yenu tena
 
Huyo jamaa aliyeipita kisbo hapo buhongwa, kwa uzoefu wangu, hata toboa shinyanga bila ya kukutwa na kupitwa.
Uzuri wa kisbo hailali kituoni, kula ni dk 4 hadi 5, ukizembea utaachwa. Kuns kamsemo chao wale madereva na mautingo "kisbo haimuachi abiria, bali abilia ndo anaiacha kisbo"
 
jamani nilishauriwa humuhumu JF ili nifike dar kutoka MWANZA kwa siku moja nipande basi la kisbo, wanaJF wakasisitiza hakuna basi linalokimbia kama kisbo, nami kweli nikakata tiketi ya hilo basi. sasa ajabu leo tumetoka nyegezi stand tumevuka tu buhongwa kisbo ikapitwa basi fulani linaitwa master, sasa nimeanza kupata wasiwasi kama kweli nitafika leo make uongo umeanza kudhihirika.
Kisbo inatoboa,
 
mwanza wanakaa kabila gani, wasukuma?!
 
Mfate dereva MPE 10 ya maji hakika utaona matokeo yake. Kwenye speed 30 anaweka 80.SAA 12:01 jion utakuwa dar
 
Mkuu kama utasikia mabasi yote ya nwanza yamelala Moro isipokuwa gari moja, basi hiyo gari moja itakuwa Kisbo. Wewe tulia mtoke shinyanga hakuna uchwara itawaona hapo
 
Back
Top Bottom