Mwanza - dar hakunacku hizi kuna mghamba ya MWZ_Dar?? Najua za arusha na moshi na wao mnaachania Singida wao wanaelekea kateshi_Bahati nyie mnasonga Dom
Mwanza - dar hakunacku hizi kuna mghamba ya MWZ_Dar?? Najua za arusha na moshi na wao mnaachania Singida wao wanaelekea kateshi_Bahati nyie mnasonga Dom
Mghamba mwenyewe anasubiri kwa COAST LINEHuyu ndo mwisho wa matatizo speed mpaka rahaa
Aisee unamshauri akaharakishe safari ya akhera!Mfate dereva MPE 10 ya maji hakika utaona matokeo yake. Kwenye speed 30 anaweka 80.SAA 12:01 jion utakuwa dar
hiyo basi imekaa kisimple simple ila mwendo wake ni msalaMghamba mwenyewe anasubiri kwa COAST LINE
Hiyo rahisi kupanga matokeo. Uliza kwa nini VPL haimo kwenye bet yoyoteinabidi mhindi aongeze kipengele cha mabasi, mbona meridianbet waliweka uchaguzi wa US na hillary clinton akachana mikeka ya watu kinoma huku teamTrump wakibeba mzigo.
Hai express/Happy nation-Issa NkyaHahahahaaa safi sana mkuu.. Mmiliki wa kisbo/kibo/skyline ni Husein Nkya.
Niliwahi panda hili gari na mausingizi yangu yote sikulala safari nzima. Hapana sio kwa mwendo ule jamaniMghamba hiyo ni kitu kingine kbsa. Hiyo kuipita msahau. Hao madereva sijui wanavuta nn.
Safari njema

Ibra line, machame safari na lim safari Hizi nazenyewe nafikiri ni jamaa wa uko machameHai express/Happy nation-Issa Nkya
Hahah mkuu...nimecheka na hako Ka slogan.. Say it again pleaseHuyo jamaa aliyeipita kisbo hapo buhongwa, kwa uzoefu wangu, hata toboa shinyanga bila ya kukutwa na kupitwa.
Uzuri wa kisbo hailali kituoni, kula ni dk 4 hadi 5, ukizembea utaachwa. Kuns kamsemo chao wale madereva na mautingo "kisbo haimuachi abiria, bali abilia ndo anaiacha kisbo"
Hivi wana connection?Hai express/Happy nation-Issa Nkya
No mkuu. Yanalala Moro sana tuDar lux ni uhakika kufika dar
Vpl ipoo..meridian bet na mkeka betHiyo rahisi kupanga matokeo. Uliza kwa nini VPL haimo kwenye bet yoyote
Hii gari huwa sipati picha siku ikipata ajali itakavyokuwa maana kwa mwendo ule. HapanaNiliwahi panda hili gari na mausingizi yangu yote sikulala safari nzima. Hapana sio kwa mwendo ule jamani![]()
![]()
![]()
Nafikiri ndiyo unaingia ubungo hivyotushatoboa
Mie ticket nakata kwa simu tu hapo ubungo nikifika ni kukabidhiwa ticket na kuingia kwenye basi..mpe hi dada Nurat, ndio agent wangu huyoBila shaka... Fika ubungo no 40 utajipatia tikiti yako kwa bei nafuu. Bila kusahau popcorn na maji uwapo njiani. Karibu The Kirikiri nation