Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
vipi hujakaa na kipusa hapo uwe unachombeza kimtindo!mghamba na katagi hatari sana
vipi hujakaa na kipusa hapo uwe unachombeza kimtindo!mghamba na katagi hatari sana
Hahahahaaa..hureeeee wanaume wa dar tumepewa shavu...sisi siyo wabaya kama wa mikoani wanavyo tuchafua!
Siku hizi wanakimbia jogging na mikate yao kwa juice
cku hizi kuna mghamba ya MWZ_Dar?? Najua za arusha na moshi na wao mnaachania Singida wao wanaelekea kateshi_Bahati nyie mnasonga DomMghamba hiyo ni kitu kingine kbsa. Hiyo kuipita msahau. Hao madereva sijui wanavuta nn.
Safari njema
Siku hizi wanakimbia jogging na mikate yao kwa juice
tuachieni wanaume zetu jamani.Nauli kutoka Mwanza hadi dar Kwa basi ni elfu 60, Chakula njiani 20, tax kufika standi 10, ( masaa 14hrs road) ukishuka ubungo either ulale gest 30000 au uchukue tax elf 30, kama kuna ndugu Wa kukupokea (hasara na usumbufu Wa kukufuata stand tumpe naye elf 30) haya uchofu Wa safari utakupasa upumzike ambapo hasara ya kulala siku nzima inayofuata elf 30 n.k let's say imekucost laki mbili kupanda bus,
Ungefanya mipango ya FASTJET 150000 /= AU Ungefanya mpango Wa precision Air 360000/= Ungefika chap na Kwa haraka ukaendeleza majukumu yako ya kuingiza Pesa nyingine ;
Mi ninafikiri siku nyingine panda ndege kupunguza gharama ( Note; gharama zingine hazionekani direct)
SAFARI ZA BUS MASAFA MALEFU IFIKE MAHALI TUACHANE NAZO zimepitwa na wakati ( Tutumie bus safar fupi fupi)
==========================
NI SAWA NA KUNUNUA KIWANJA KWENYE KILIMA AU BONDENI 2MIL HALAFU MSINGI WA NYUMBA IKAKUCOST 15MIL pamoja risk za Maji na bomoabomoa! Wakati kuna viwanja flat saafi vinauzwa 8mil na mzingi only 3mil na ni sehemu salama
Sijamaanisha inaenda dar. Sina uhakika km ipo ya kwenda. Nilichokuwa namaanisha ukimbiaji wa gari haijalishi inaenda dar au la km ni njia moja hata km inaishia shinyanga, itawaacha mbali. Kuna kipind nilipanda kutoka singida to mwanza.cku hizi kuna mghamba ya MWZ_Dar?? Najua za arusha na moshi na wao mnaachania Singida wao wanaelekea kateshi_Bahati nyie mnasonga Dom
Pole sana!Watu mko machooooo,,, Mm nimetoka na premier hapa nyegezi naelekea mbeya Duuuhh linapitwa tuuuuuuuu na vibas vya ajabu najutaaaaa
Mkuu kama vipi piga chini hilo subiri Mohamed Trans au Hood kama lipo! Hapo Dar kufika ni keshokutwa kwa raha zako yaani hata rushwa hawatoi wale jamaa na ujiandae kufaulishwa muda wowote kabla ya kufika sekenke. Bon voyageJamani nilishauriwa humuhumu JF ili nifike dar kutoka Mwanza kwa siku moja nipande basi la kisbo, wanaJF wakasisitiza hakuna basi linalokimbia kama Kisbo, nami kweli nikakata tiketi ya hilo basi.
Sasa ajabu leo tumetoka Nyegezi stand tumevuka tu Buhongwa Kisbo ikapitwa basi fulani linaitwa master, sasa nimeanza kupata wasiwasi kama kweli nitafika leo make uongo umeanza kudhihirika.
Hiiiiiii mkuu ungepanda Limghamba yaani linakimbia acha kabisa
Kwahiyo wewe uko basi gani.. Fanya mpango muonane na huyu mwana jf mwenzioHahaaaaaa kisibo na allys leo zinakula sahani moja, znaongozana zero distance