Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Jamani nilishauriwa humuhumu JF ili nifike dar kutoka Mwanza kwa siku moja nipande basi la kisbo, wanaJF wakasisitiza hakuna basi linalokimbia kama Kisbo, nami kweli nikakata tiketi ya hilo basi.

Sasa ajabu leo tumetoka Nyegezi stand tumevuka tu Buhongwa Kisbo ikapitwa basi fulani linaitwa master, sasa nimeanza kupata wasiwasi kama kweli nitafika leo make uongo umeanza kudhihirika.
Kisbo ni usafiri wa uhakika na naamini kufikia saa 7 usiku utakuwa Dar, usiangalie umepitwa na basi ngapi njiani
 
mboba umeanza kujihami mkuu. Sisi dada zenu ndo tunawajua vizuri kaka zetu wa Dar msotaka kusimama kwenye daladala eti mnachoka wakati kuna mama na tumbo kubwa la ujauzito kasimama.
na kwenye game wakoje hao kaka zako wa dar!
 
Jamani nilishauriwa humuhumu JF ili nifike dar kutoka Mwanza kwa siku moja nipande basi la kisbo, wanaJF wakasisitiza hakuna basi linalokimbia kama Kisbo, nami kweli nikakata tiketi ya hilo basi.

Sasa ajabu leo tumetoka Nyegezi stand tumevuka tu Buhongwa Kisbo ikapitwa basi fulani linaitwa master, sasa nimeanza kupata wasiwasi kama kweli nitafika leo make uongo umeanza kudhihirika.
isha chinja sana ndo maana imekuwa chata kwa polisi kila wakiiona
 
Mkuu Acha mchecheto Hiyo Master City kabla ya nzega mtakuwa mmeshaipita, Tulia hivyo bado asbh huyo Dereva hajaanza kutafuna mirungi yake mbona utaipenda?? Endelea kuleta mrejesho mkuu saa6 mko ubungo
 
Back
Top Bottom