Kumbe kusanda ipo na kwenye lugha ya kisukuma?akhsante kwa kunijuza,sie moro tunaitumia tukimaanisha mtu 'kuweka mpira kwapani!'Hiyo lugha ya kusanda ni kisukuma ? Ndio nini? Maana waswahili wa usiku mani wana vilugha vya hivyo hatari. Mfano kuniga ni kukaba
Kwahyo saa 00:00 upo Ubungo mdau?kisbo inatafuta chalinze
Kuna mambo ya kishirikina wanafanya gari haitapigwa tochi wala kusumbuliwa njia nzima...
kisbo inatafuta chalinze
Newforce ya Tunduma ni hatariWote hatunufaiki na utawala huu kama wewe.
Hapo kwenye tax 30,000 weka 400 daladala ,chakula 30,000 weka 5000 , gesti 30,000 weka 10,000 .
Mwisho ndege tunaogopa viberiti vyetu vya moyo.
Acha waswahili tufurahie ligi ya mabus njiani ,ndo raha yake ya kututolea stress ,mtasema ajali hata ndege zinapata ajali au unaweza fika airport ukapanda tax yako na mkapata ajali vile vile .
Vipi route ya Dar to Mbeya bado Newforce wanakimbiza?
Hapo mlipobambana singida basi la Asante Rabi la kwenda Arusha halikuwepo kweli, manake nalo ni balaabaada ya singida hakuna aliyekatisha, wale waliotupita shy tulibambana singida walikuwa wanaenda arusha. nadhan huko mbele yetu kuna kidia one, katagi sijajua anaenda wapi make naye alipopita hajaonekana tena.
Kweli hiyo maneno ni nouma!kisbo inatafuta chalinze
Mmetisha aisee. Ila nilichekaga siku moja Kisbo imepack pale Manyoni kama nusu SAA ili abiria wale huku ikifidia muda wa kuingia Singida na hata ilipoondoka magari mengine yalikuwa hayajafika badokisbo inatafuta chalinze
Hujakutana na dar express (DFR) Dar-Nairobi... Moto wakuotea mbaliRoute ya dar arusha ndio imekua ya kibwege hakuna gari linalokimbia tena...
Daima tutazikumbuka
Buffalo
Ngorika macedonia
Chakito longway
Meridian express
Defender haliwezi kuwabughuzi walipa kodi.Mkuu nipo kimara hapa mkipita lazima niwaone labda defenda la kutufukuza bar lipite ahhaahaha