Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Mie nimepanda Kisesa gari lisilo na haraka ila naamini nitatoboa tu japo kama kisbo ipo inawezekana inapita Moro saizi maana sijawaona kabisa barabarani leo.
 
Hiyo basi hadi wapiga debe na Makonda wa stendi za msamvu na ubungo huwa wanaibetia kuwa itatangulia kufika kabla ya mabasi mengine na mara nyingi huwa wanapiga hela
 
Hiyo basi hadi wapiga debe na Makonda wa stendi za msamvu na ubungo huwa wanaibetia kuwa itatangulia kufika kabla ya mabasi mengine na mara nyingi huwa wanapiga hela

tunakaribia hapo, waambie walioweka mzigo kwa kisbo wakae mkao wa kula hela. zote mbili ndo zitaongozana
 
Wakuu hivi ule mjengo washaushusha? ili nijipange kisaikolojiia kabisa.
 
tunakaribia hapo, waambie walioweka mzigo kwa kisbo wakae mkao wa kula hela. zote mbili ndo zitaongozana

Eeeeh, kweli hilo ni dege la chini ni balaaa, safari njema mkuu, masela sasa hivi wanaenda kujipigia mtonyo wakale monde hapo terminal bar msamvu
 
Hiyo basi hadi wapiga debe na Makonda wa stendi za msamvu na ubungo huwa wanaibetia kuwa itatangulia kufika kabla ya mabasi mengine na mara nyingi huwa wanapiga hela
Nadhani mnamaanisha KISBO iliyosanda ligi ya Dar-Mbeya na kukimbilia Tabora!
 
Golden deer ni hatari

Kuna siku mwaka huu mwezi wa nne nilikuwa natoka moro naelekea mbeya, kufika pale Al Jazeera saa Kama tano hivi tunaikuta kisbo ya kutoka mbeya ikiwa imepaki inasubiria abiria wake wale wasepe kuelekea Dar, Yaaani mkuu hadi dereva na konda wa gari niliyopanda wakawa wamepigwa na butwaa kwani hawakuamini Kama kwa muda ule ili kisbo imefika hapo,wakawa wanajiuliza imetembeaje huko njiani,hapo ndio nikaamini kuwa ule gari kweli inatiririka manake had madereva wa makampuni nyingine wanaigwaya wakiongozana nayo
 
Golden deer ni hatari
mi naona new force ya tunduma ndo iko vizuri maana huwa napanda zile Costa za usku (Hakuna kulala) kila ukitoka mbeya gari ya kwanza kupishana ni new force ya tunduma
 
Back
Top Bottom