mwayungi
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,814
- 3,081
Asante sana kwa kulijibu vizuri sanana nilishalijibu vizuri sana
Asante sana kwa kulijibu vizuri sanana nilishalijibu vizuri sana
Kisbo naikubali sana wana speed nzuri na siku zote yanatoboamzani wa kuingia dodoma
mkuu inasehemu ya kuchargia maana nakuona simu yako haizm chargemzani wa kuingia dodoma
Mkuu jiandae kisaikolojia..mida ya kumwaga moto hii...a.k.a kunyoosha goti!yap zipo
Ngorika ni Nomaa Mkuu...Route ya dar arusha ndio imekua ya kibwege hakuna gari linalokimbia tena...
Daima tutazikumbuka
Buffalo
Ngorika macedonia
Chakito longway
Meridian express
Dar mwanza 45000,njian singida kula 5000,maji unapewa ukifika manyon,ukifika dodoma unanunua redbul moja 3000,unachangamka huku unatazama picha ya kingwendu,unafika moro saa mbili na dk 26,mbili na dk 40 pale unanunua korosho 2000 unaondoka mdogo mdogo mpk chalinze saa 4:56,pale linachanganya mpka 00:13 unapigiwa honi lango la ubungo. Ukishuka kama unaenda mbagala unachukua daldala pale mataa mpk bugurun 400,pale unachukua gar nyingine ya mbagala muda huo ni saa 7:23,sehem nying bado magar yapo,unafika mbagala kwa 400,ukiahuka unachukua boda mpk home buku mbili. Unalala kesho saa tano asbhi. Piga hesabu hapoNauli kutoka Mwanza hadi dar Kwa basi ni elfu 60, Chakula njiani 20, tax kufika standi 10, ( masaa 14hrs road) ukishuka ubungo either ulale gest 30000 au uchukue tax elf 30, kama kuna ndugu Wa kukupokea (hasara na usumbufu Wa kukufuata stand tumpe naye elf 30) haya uchofu Wa safari utakupasa upumzike ambapo hasara ya kulala siku nzima inayofuata elf 30 n.k let's say imekucost laki mbili kupanda bus,
Ungefanya mipango ya FASTJET 150000 /= AU Ungefanya mpango Wa precision Air 360000/= Ungefika chap na Kwa haraka ukaendeleza majukumu yako ya kuingiza Pesa nyingine ;
Mi ninafikiri siku nyingine panda ndege kupunguza gharama ( Note; gharama zingine hazionekani direct)
SAFARI ZA BUS MASAFA MALEFU IFIKE MAHALI TUACHANE NAZO zimepitwa na wakati ( Tutumie bus safar fupi fupi)
==========================
NI SAWA NA KUNUNUA KIWANJA KWENYE KILIMA AU BONDENI 2MIL HALAFU MSINGI WA NYUMBA IKAKUCOST 15MIL pamoja risk za Maji na bomoabomoa! Wakati kuna viwanja flat saafi vinauzwa 8mil na mzingi only 3mil na ni sehemu salama
Ilikuja kirumo na machame safari lakini azikuweza kudumu Kwenye kwa sababu abiria wengi wa kaskazn awapendi mwendo kasi...... Walianza kukosa abiria na zimekuwa gari za kawaida Kwenye speed....Ngorika ni Nomaa Mkuu...
Mapema tu unatboanaangazaangaza hapa dodoma labda naweza kumuona spika, walau hata naibu wake