auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,294
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Nashukuru kwa kuijua hiyo Kisbo. Ningepanda hiyo gari abiria mngenishusha mapema kabisa. Sipendi na narudia tena sipendi speed. Mkuu unafuata speed kali ila omba Mungu matokeo ya hiyo speed ya gari yawe kifo yakiwa ulemavu utakua balozi mzuri sana wa kukimbia kimbia hovyo barabarani.
Kwahiyo basi la kwanza la kutoka mwanza kuingia hapo ni Kidia one?kidia one imenipita hapa bahi road saa 1736
Sitoki kwenye huu uzi, hadi saa sita usiku...mkuu [HASHTAG]#sexer[/HASHTAG] endelea kutupa taarifa,
umetisha mkuukidia one imenipita hapa bahi road saa 1736
Kuna ile kisbo moja (bombastic) ilikua ni hatari sana ,siku hiz sijui imefia wapi
Hahaha...jibu zuri sana hili..nimeshangaa jamaa sijui sijui alikua anapiga mahesabu ya wapi hayo...Dar mwanza 45000,njian singida kula 5000,maji unapewa ukifika manyon,ukifika dodoma unanunua redbul moja 3000,unachangamka huku unatazama picha ya kingwendu,unafika moro saa mbili na dk 26,mbili na dk 40 pale unanunua korosho 2000 unaondoka mdogo mdogo mpk chalinze saa 4:56,pale linachanganya mpka 00:13 unapigiwa honi lango la ubungo. Ukishuka kama unaenda mbagala unachukua daldala pale mataa mpk bugurun 400,pale unachukua gar nyingine ya mbagala muda huo ni saa 7:23,sehem nying bado magar yapo,unafika mbagala kwa 400,ukiahuka unachukua boda mpk home buku mbili. Unalala kesho saa tano asbhi. Piga hesabu hapo
La rangi gani ili nije kuchekashati na suruali mkuu
mkuu moro ni kabla ya saa 3, saiz inasoma kibaigwa unadhani moro itakuwa saa ngap?