Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Ili ipite mshauri dreva hakuna kuchimba dawa kukata gogo wala kula,mtakojoa mkifika
 
Dar, we we MTU wa ajabu sana! Yaani safari bado mbichi unalalamika? Hapo issue ni singida... Kufika na kuondoka... Mkitoka Dodoma unajijua kabisa mtalala Moro au la.
 
Kuna uzi ulianzishwa kuisifia City Boyz.. Baada ya week mbili tukatoa salamu za rambirambi.. Tudubiri kuona mamlska zitachukua hatua gani?
 
ndo linaondoka singida hapa
Duh tochi noma mi nakumbuka na kisbo natoka mwanza kuja dsm pale nyegezi tulikuwa wa mwisho kutoka ila singida hotelin wa kwanza na tuliingia saa tano asubuhi Singida
 
saa 15:15 tunaingia manyoni, hadi sasa tasmin ikoje? tutatoboa?!
 
Jamani nilishauriwa humuhumu JF ili nifike dar kutoka Mwanza kwa siku moja nipande basi la kisbo, wanaJF wakasisitiza hakuna basi linalokimbia kama Kisbo, nami kweli nikakata tiketi ya hilo basi.

Sasa ajabu leo tumetoka Nyegezi stand tumevuka tu Buhongwa Kisbo ikapitwa basi fulani linaitwa master, sasa nimeanza kupata wasiwasi kama kweli nitafika leo make uongo umeanza kudhihirika.



Inaonekana umedata na Data, hizo ni rasha rasha tu bado mtapitwa sana kwa kusimamishwa na askari wa usalama, mizani na cheki pointi.. Show kamili utaifurahia kuanzia jioni unapoondoka Dodoma kuitafuta Moro, na Moro kuitafuta Kibaha.. utaandika Mirathi kabla ya wakati wako
 
Kwani hadi sasa kuna mabasi mliyotoka nayo Mwanza kwenda Dar, ambayo bado yamewatangulia?

nadhani hapana, make mghamba ya arusha aliyetupita nilishangaa namuona nyuma yetu pale singida stand wala sijui tulimpita wapi, labda katagi make toka atupoteze kabla ya shy sijaiona tena na wala sijui inaenda wapi.
 
Back
Top Bottom