We jamaa kiboko Kwa mawazo hayo ya kitajili.Nauli kutoka Mwanza hadi dar Kwa basi ni elfu 60, Chakula njiani 20, tax kufika standi 10, ( masaa 14hrs road) ukishuka ubungo either ulale gest 30000 au uchukue tax elf 30, kama kuna ndugu Wa kukupokea (hasara na usumbufu Wa kukufuata stand tumpe naye elf 30) haya uchofu Wa safari utakupasa upumzike ambapo hasara ya kulala siku nzima inayofuata elf 30 n.k let's say imekucost laki mbili kupanda bus,
Ungefanya mipango ya FASTJET 150000 /= AU Ungefanya mpango Wa precision Air 360000/= Ungefika chap na Kwa haraka ukaendeleza majukumu yako ya kuingiza Pesa nyingine ;
Mi ninafikiri siku nyingine panda ndege kupunguza gharama ( Note; gharama zingine hazionekani direct)
SAFARI ZA BUS MASAFA MALEFU IFIKE MAHALI TUACHANE NAZO zimepitwa na wakati ( Tutumie bus safar fupi fupi)
==========================
NI SAWA NA KUNUNUA KIWANJA KWENYE KILIMA AU BONDENI 2MIL HALAFU MSINGI WA NYUMBA IKAKUCOST 15MIL pamoja risk za Maji na bomoabomoa! Wakati kuna viwanja flat saafi vinauzwa 8mil na mzingi only 3mil na ni sehemu salama
Unakuja DSM, ukirudi Mwanza uwaeleweshe vizuri jamaa zako uakayoyaona huku! Sio madongo tu kwa Wanaume wa Jiji!
mboba umeanza kujihami mkuu. Sisi dada zenu ndo tunawajua vizuri kaka zetu wa Dar msotaka kusimama kwenye daladala eti mnachoka wakati kuna mama na tumbo kubwa la ujauzito kasimama.Hii katagi ya Mwanza-mbeya ni hatari kuliko Basi zote barabarani hii inatoboa makambako Siku moja kutoka Mwanzakhaa! kuna gari inaitwa katagi nayo imetupita hapa hatujafika hata missungwi
Wewe ni me au Ke ? Hivi ukikanyaga DAR si ......./jamani nilishauriwa humuhumu JF ili nifike dar kutoka MWANZA kwa siku moja nipande basi la kisbo, wanaJF wakasisitiza hakuna basi linalokimbia kama kisbo, nami kweli nikakata tiketi ya hilo basi. sasa ajabu leo tumetoka nyegezi stand tumevuka tu buhongwa kisbo ikapitwa basi fulani linaitwa master, sasa nimeanza kupata wasiwasi kama kweli nitafika leo make uongo umeanza kudhihirika.
Nauli hiyo unaweza lipa kama umepanga safari zaidi ya wiki 2, safari za ghafla nauli ya ndege ni noma.Nauli kutoka Mwanza hadi dar Kwa basi ni elfu 60, Chakula njiani 20, tax kufika standi 10, ( masaa 14hrs road) ukishuka ubungo either ulale gest 30000 au uchukue tax elf 30, kama kuna ndugu Wa kukupokea (hasara na usumbufu Wa kukufuata stand tumpe naye elf 30) haya uchofu Wa safari utakupasa upumzike ambapo hasara ya kulala siku nzima inayofuata elf 30 n.k let's say imekucost laki mbili kupanda bus,
Ungefanya mipango ya FASTJET 150000 /= AU Ungefanya mpango Wa precision Air 360000/= Ungefika chap na Kwa haraka ukaendeleza majukumu yako ya kuingiza Pesa nyingine ;
Mi ninafikiri siku nyingine panda ndege kupunguza gharama ( Note; gharama zingine hazionekani direct)
SAFARI ZA BUS MASAFA MALEFU IFIKE MAHALI TUACHANE NAZO zimepitwa na wakati ( Tutumie bus safar fupi fupi)
==========================
NI SAWA NA KUNUNUA KIWANJA KWENYE KILIMA AU BONDENI 2MIL HALAFU MSINGI WA NYUMBA IKAKUCOST 15MIL pamoja risk za Maji na bomoabomoa! Wakati kuna viwanja flat saafi vinauzwa 8mil na mzingi only 3mil na ni sehemu salama
Nauli ya dar mza sio 60,000/= hapo rekebisha. Gharama nyingine unajitakia. Dar coasters zinafanya kazi almost 24 hrs...hiyo gharama ya taxi pia umejitakia pia. Mtu akija kujupokea gharama zake hazikuhusu ndugu, maadam alikubali kuja bas hamna namna ataingia gharama tu....na hata kama angekuijia airport bado gharama zingekua palepale especizlly kama unakaa tegeta.Nauli kutoka Mwanza hadi dar Kwa basi ni elfu 60, Chakula njiani 20, tax kufika standi 10, ( masaa 14hrs road) ukishuka ubungo either ulale gest 30000 au uchukue tax elf 30, kama kuna ndugu Wa kukupokea (hasara na usumbufu Wa kukufuata stand tumpe naye elf 30) haya uchofu Wa safari utakupasa upumzike ambapo hasara ya kulala siku nzima inayofuata elf 30 n.k let's say imekucost laki mbili kupanda bus,
Ungefanya mipango ya FASTJET 150000 /= AU Ungefanya mpango Wa precision Air 360000/= Ungefika chap na Kwa haraka ukaendeleza majukumu yako ya kuingiza Pesa nyingine ;
Mi ninafikiri siku nyingine panda ndege kupunguza gharama ( Note; gharama zingine hazionekani direct)
SAFARI ZA BUS MASAFA MALEFU IFIKE MAHALI TUACHANE NAZO zimepitwa na wakati ( Tutumie bus safar fupi fupi)
==========================
NI SAWA NA KUNUNUA KIWANJA KWENYE KILIMA AU BONDENI 2MIL HALAFU MSINGI WA NYUMBA IKAKUCOST 15MIL pamoja risk za Maji na bomoabomoa! Wakati kuna viwanja flat saafi vinauzwa 8mil na mzingi only 3mil na ni sehemu salama
Una uhakika parafiso atafika asubuh hh kaamukia jf huko ni kwa wenye mioyo nyenyekevu na safHaya na ukifika paradiso usisahau kutupia tena uzi kuwa umefika