Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

nadhani hapana, make mghamba ya arusha aliyetupita nilishangaa namuona nyuma yetu pale singida stand wala sijui tulimpita wapi, labda katagi make toka atupoteze kabla ya shy sijaiona tena na wala sijui inaenda wapi.
Sasa umeamini kua KISBO ni moto wa kuotea mbali?
 
Yasifieni tuu hayo magari ya kisbo na kibo kuna siku nilipanda sintarudia tena kuyapanda maana ikifika giza wanafungulia spidi mpaka mwisho
 
Binafsi nilishafanywa vibaya na haya mabasi mnayosifia yanaspeed. Sahivi sisogelei hata mlangoni nimekua muoga wa speed kubwa, dar to mwanza huwa nachukua zuberi(kisesa) inatosha.
 
nimeiona dar lux nyuma yetu hapa missungwi stand. sasa nataka nione kisbo vs dar lux. ikitupita na hii yaan ndo ntakata tamaa kabisa na kujiandaa kisaikologia kulala moro
ila mkuu una utoto mwingi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom