The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,062
Wewe umewahi kuandika chochote cha kujenga hoja yako, kikapitiwa na wanaskola?
Sasa mnaona mambo yanavyojinyumbulisha?
Kwa tafsiri ya huyu mtu, mimi sina akili. Kwa sababu sitambuiuwepo wa Mwenyezi Mungu.
Sasa kwa nini Mshana anashindwa kutupa tafsiri yake akisema akili anamaanisha nini?



NdioWewe umewahi kuandika chochote cha kujenga hoja yako, kikapitiwa na wanaskola?
Ndio
Hajaulizwa hilo swali!....yeye ameulizwa ana akili?@kiranga nae anapaswa kujibu akili ipi anayoielewa kwanza. Kasema anazijua nyingi
Kwa njia gani?Ningependa ukanitumia nikaipitia
MSHANA JR ni mweupe sana kichwani hawezi shindana na watu wenye uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo.There is no diversion, you are the one asking a vague question.
You need to be more disciplined and detailed when asking me questions.
I detest indiscipline of thought and lack of clarity in debate.
Aliekuambia kuwa jinsi mitihani inavyojibiwaga ndiyo kigezo sahihi cha kuonyesha namna maswali yanavyotakiwa kujibiwa kwa usahihi ni nani???!Anamaanisha una akili? Umesoma post yake ya 406?
Inamaana hauelewi akili ni nini kwa namna yeyote ile?
Kama ni hivyo maswali yangejibiwa kweli kwenye mitihani?
Na mimi nimempa mfano huo wa elimu mshana jr kashndwa kuelewa.Mkuu hata mimi juzi kuna mtu kaniuliza kama nina elimu?....ilibidi nimuulize afafanue kwanza anamaanisha elimu ipi kwa sababu mimi nina elimu ya VETA na akafafanua kuwa alitaka kujua kama nina elimu ya degree!
Umepatia kwa asilimia mia moja! Hoja yake kuu ni kwanini Mungu hakuumbwa ulimwengu ambao hauna shida, hauna uovu.... ata ukimjibu, basi atarudia tena suali hilo hilo kwa kuligeuza vengine na ata ukimjibu tena pia atakuuliza tena swali ilo ilo akiamini kuwa kakuuliza jengine.ila mwepesi wa hoja.
Hakuulizwa hili swali kweli, lkn alijibu anazijua tafsiri nyingi za akili.Hajaulizwa hilo swali!....yeye ameulizwa ana akili?
kweli japo haitosaidia kituMwisho wa siku watakengeuka imani yao na kujua kwamba yupo muumba wa yote (Mungu) kama alivyofanya R.I.P kingunge kabla ya kifo chake.
Kawaida ya wapingaji uwepo wa Mungu, kwnza huwa wanamuwaza mungu katika mithili yao, kwa mfano kama yeye kiranga angekuwa Mungu basi angefanya kama ivo anavotaka iwe, wakati anasahau kuwa anafikiria kuyafanya akiwa na akili ya kibinaadamu, na Mungu hafikiri/kufanya kwa kutumia akili ya binaadamu.Umenena kweli kabisa mkuu. Ila Mungu ni mkuu na wa ajabu, huwajaaria watu huwa ukuu na maarufa baadaye hutumia maarifa ya kumbomoa lakini yeye huendelea kuwabariki. Mungu haweki hasira juu ya asiye muamini.
Kiranga haamini uwepo ma uwezo wa Mungu sababu kwake alitaka Mungu awe kama alivyo rais wa nchi, kwamba leo anaweza akaenda bandarini akaokota vichwa vya treni, akagawa mapapai, akagawa mabulungutu ya hela, akawap8gia simu watendaji kwenye mkutano wa hadhara watendaji wake ma kutoa maagizo.
Huyu Mungu wetu angeweza kuyafanya yote haya huku Kiranga akishuhudia basi angeweza kuamini kuwa kuna Mungu. Kwake mtu huyu ni mungu zaidi ya Mungu tunayemuamini
Yeye kujibu kuwa anazijua tafsiri nyingi hayupo liable wala accountable(halazimishwi wala haimlazimu) kuzifafanua na kuzitaja hizo tafsiri nyingi kwa sababu halikuwa swali la msingi lililoulizwa!Hakuulizwa hili swali kweli, lkn alijibu anazijua tafsiri nyingi za akili.
Kanuni rahisi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kuwa hawaamini pia kama uchawi upo....... ukiwa unakubali kimoja na kingine unapingi basi wewe siyo muumini wa kweliLini Kiranga amewahi kukiri kwamba anaamini uchawi?? Huwa namfatilia sana ila sijawahi kutana na mahali anasema uchawi upo!!
Naam,una jipya?Rafiki
Nilisikitika sana mkuu.Aliempiga ban Kiranga kipindi kile alikuwa hana akili kabisa!!![]()
Ewaaa!! There you are!Aliekuambia kuwa mitihani ndiyo kigezo sahihi cha kuonyesha namna maswali yanavyotakiwa kujibiwa kwa usahihi ni nani???!