Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

sijawahi kuona mtu Mwenye hoja zilizo shiba pia "" ambazo zimewahi kushinda hoja za kiranga...Mara nyingi tu "" amekuwa akizikusanya hoja za wanaoamini uwepo wa Mungu na kuzifinyanga finyanga kwa majibu Yke yenye hoja zenye fact "" ....." huwenda ikawa watu wanaoamini uwepo wa Mungu wakawa wanasimamia ukweli "" lakini wamekosa hoja zenye nguvu ambazo zinaweza Ku improve wrong kiranga ..."lakini mpaka sasa huwa nahesabu kuwa kiranga ndiye mshindi wa hizi debate""
Hata uwe na elimu au ujuzi kiasi gani ila ukibishana na mjinga atakushinda tu.

Kiranga amejikita kwenye kushinda mabishano tu kwa hali yeyote ile.
 
Post 406 haioneshi maana ya akili ambayo anataka kujua kama 'anayo'.Yaan unamaanisha nini unaposema akili?

Akili ni uwezo wa kuelewa, kujifunza na kuchambua mambo mbalimbali katika mazingira yetu na kuweza kupata ujuzi na maarifa ya kutuwezesha kuishi kwa ufanisi.

Ikumbukwe ni dhana pana, hiyo ni mojawapo.
 
Hata uwe na elimu au ujuzi kiasi gani ila ukibishana na mjinga atakushinda tu.

Kiranga amejikita kwenye kushinda mabishano tu kwa hali yeyote ile.
Sasa"" mjinga atashinda vipi mkuu""!? maana wanaofuatilia mjadala watautambua ujinga wake kutokana " na uwezo wake mdogo wa kubishana bila logic/fact "" labda kama atapewa huo ushindi na wajinga wenzake ambao ndio "" wafuatiliaji wa huo mjadala"" ila kama mjadala unafuatiliwa na watu timamu wa akili sidhani kama huyo mjinga atashinda
 
Iko hivi
Kwanza wale wasio waamini katika Mungu mmoja wamekwepa sana sana kujibu hili swali kwakuwa wanajitambua wazi kuwa wanazo akili lakini kimbembe ni kuthibitisha! Na kamwe hawawezi kukwambia hawana akili... Hivyo hivyo ni sawa na uwepo wa Mungu! Yupo lakini huwezi kumthibitisha kimwili kama usivyoweza kuthibitisha akili ulizonazo japo zipo
Dunia ina pande mbili giza na nuru, juu na chini, kushoto na kulia VINAVYOONEKANA na VISIVYOONEKA...
Tunahisi, njaa kiu ama hamu ya kitu lakini hatuwezi kuvionyesha vikaonekana... Ila vinatulizwa na vitu VINAVYOONEKANA yaani chakula, maji nk
Kama tunakubali kuwa kila kitu duniani kina pande mbili basi tutakuwa wajinga tukibisha kama kuna upande wa pili wa dunia usioonekana na huu ndio ulimwengu wa roho, ulimwengu wa Kimungu usio na ithibati za kisayansi lakini upo
Dah nakuelewa sana mkuu Jr na ata lengo lako la kumuuliza hilo swali tangia mwanzo ila kaz ipo kwa huyo mwenzetu Kiranga kukubali kama ana akili au hana kwa sababu anaogopa akisema anazo swali linakuja unaziona au tuonyeshe? ndo apo sasa tunapokuja kwenye ithbati ya uwepo wa Mungu tunaamini kwamba yupo ila huwezi kumuona wala kumthibitisha jinsi unavyotaka wewe mwana wa adamu
 
Mi naamini mshana ulijipanga vyema sana kuja kushusha madini, haukua nusu nusu sitaki kuamini kwamba Swali hili umeshindwa kumtengenezea vile ambavyo yeye anamini halaf ukamleta tena kwenye 18 zako kama ulivyokua umejipanga mpaka ukamwanzishia uzi, Vinginevyo Hukujipanga Swahiba , kweli unaaamini ukimjibu hilo ndo mwisho wako utakua?
Sasa ni yeye kunijibu mimi au mimi kumjibu yeye!?
 
Dah nakuelewa sana mkuu Jr na ata lengo lako la kumuuliza hilo swali tangia mwanzo ila kaz ipo kwa huyo mwenzetu Kiranga kukubali kama ana akili au hana kwa sababu anaogopa akisema anazo swali linakuja unaziona au tuonyeshe? ndo apo sasa tunapokuja kwenye ithbati ya uwepo wa Mungu tunaamini kwamba yupo ila huwezi kumuona wala kumthibitisha jinsi unavyotaka wewe mwana wa adamu

Unakumbuka kuna siku watu walimuuliza Yesu, anafanya miujiza ile kwa mamlaka ya nani? Akawaambia Yohana mbatizaji alipokuja, alifanya ishara zile kwa mamlaka ya nani? Wakagoma kumjibu, akawaambia kama hawatamjibu basi na yeye hatasema anafanya mambo yale kwa mamlaka ya nani.
 
Hahaa ameshindwa kujibu kama ana akili au hana? na yeye hatopewa jibu nn maana ya akili
 
Back
Top Bottom