The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,606
- 47,078
Aliekuambia kuwa mitihani ndiyo kigezo sahihi cha kuonyesha namna maswali yanavyotakiwa kujibiwa kwa usahihi ni nani???!
Msingi wa kuandika hivyo ulitokana na kila swali liloulizwa lilizaa swali jingine. Sasa endapo utaulizwa 1+1 ukauliza moja ndio kitu gani wakati unatarajiwa utoe jibu hata kama sio sahihi ni tatizo. Unaulizwa jina lako nani, unajibu kwa kuuliza jina unamaanisha nini? Hapo ndio ilipotoka dhana ya hicho nilichokiandika.