baraka bb
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 2,690
- 3,903
hahahahahaaa we jamaaa bhanaSasa mnaona mambo yanavyojinyumbulisha?
Kwa tafsiri ya huyu mtu, mimi sina akili. Kwa sababu sitambuiuwepo wa Mwenyezi Mungu.
Sasa kwa nini Mshana anashindwa kutupa tafsiri yake akisema akili anamaanisha nini?